Viongozi taboa kuajiri madereva walevi

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Jana katika kipindi cha Kumekucha cha ITV, kiongozi mmoja wa madereva wa mabasi alidai kuwa viongozi wa Tanzania Bus Owners Association (TABOA) wanakwepa kuwapatia ajira za uhakika madereva nabadla yake huchukua walebi wa viroba vya Konyagi mitaani na kuwapatia mabasi wasafirishe abiria,
Nini maoni yako?
 
kwahio huyu KIONGOZI WA MADEREVA ni kiongozi wa madereva walevi?
hakuna sheria inayokataza kuajiri mtu anaetumia pombe,bali hairuhusiwi kuendesha ukiwa umelewa,polisi wafanyekazi yao kukamata wanaoendesha wakiwa wamelewa.
 
Back
Top Bottom