Vinicius Junior: La Liga imetawaliwa na ubaguzi wa rangi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Nyota huyo wa Real Madrid amesema hayo baada ya kutolewa kauli za kibaguzi na mashabiki wakati timu yake ikipoteza kwa goli 1-0 dhidi ya Valencia katika Ligi Kuu ya Hispania 'La Liga'.

Baada ya mchezo huo ambao Vinicius alitolewa kwa kadi nyekundu, amesema "Ligi ambayo walicheza Ronaldinho, Ronaldo, Cristiano na Messi, leo inamilikiwa na wabaguzi wa rangi, ubaguzi ni kawaida La Liga. Imefikia hatua kwetu Brazil inajulikana wazi Hispania ni Nchi ya Wabaguzi wa rangi."

Upande wa uongozi wa La Liga umetoa tamko kuwa unaendelea kupinga vitendo vya kibaguzi na utachukua hatua kwa watakaobainika.

Aidha, Kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema mchezo ulitakiwa kusimama kutokana na vitendo vya kibaguzi vikivyokuwa vikifanywa hadharani dhidi ya mchezaji wake.

###########

Real Madrid's Vinicius Junior said "La Liga belongs to racists" after being subjected to racist chants at Valencia.

The 22-year-old was dismissed for violent conduct on 97 minutes after an altercation with Hugo Duro.

Earlier in the game, an incensed Vinicius attempted to bring a Valencia fan to the referee's attention.

"The championship that once belonged to Ronaldinho, Ronaldo, Cristiano and Messi today belongs to racists," he wrote on Instagram.

"It wasn't the first time, nor the second, nor the third. Racism is normal in La Liga. The competition thinks it's normal, the Federation does too and the opponents encourage it.

"A beautiful nation, which welcomed me and which I love, but which agreed to export the image of a racist country to the world. I'm sorry for the Spaniards who don't agree, but today, in Brazil, Spain is known as a country of racists.

"And unfortunately, for everything that happens each week, I have no defence. I agree. But I am strong and I will go to the end against racists. Even if far from here."

In a statement, La Liga said it has been "fighting against this kind of behaviour for years, as well as promoting the positive values of sport, not only on the field of play, but also off it".

An entire stadium chanting racist slurs'
The Brazil forward has been the subject of racist abuse numerous times this season in La Liga.

The game was momentarily paused in the second half as the Real forward reacted angrily to an incident in the stands.

He was fired up from that moment and was sent off for the first time in La Liga for his involvement in an altercation between the two sets of players.

His manager Carlo Ancelotti said the game should have been stopped because of the abuse directed at his player.

"What we saw today is unacceptable. An entire stadium chanting racist slurs," the Italian said.

"I don't want to talk about football today, there is no meaning in talking about football today. I told the referee he should have stopped the match.

"La Liga has a problem. For me Vinicius is the most important player in the world. La Liga has a problem, these episodes of racism have to stop the match.

"It's the entire stadium that is insulting a player with racist chants and the match has to stop. I would say the same if we were winning 3-0, there is no other way."

Ancelotti said Vinicius' reaction was "understandable" in the circumstances.

"I asked him if he wanted to keep playing, and he stayed in the game," the former Milan midfielder added.

"Vinicius is very sad, he is angry. Something like this can't happen in the world we live in."

La Liga has said it will investigate the incident while Valencia released a statement on their website condemning it and confirming they will investigate.

"Valencia CF wishes to publicly condemn any type of insult, attack or disqualification in football," the statement read.

"The club, in its commitment to the values of respect and sport, publicly reaffirms its position against physical and verbal violence in stadiums and regrets the events that occurred.

"Although this is an isolated episode, insults to any player from the rival team have no place in football and do not fit in with the values and identity of Valencia CF.

"The club is investigating what happened and will take the most severe measures."

La Liga said it would take "appropriate legal action" if any hate crime is identified and called on people to submit any relevant footage.

The statement said it had been proactive after previous racist abuse against Vinicius, and had filed nine reports in the last two seasons to legal authorities in Spain.


Source: BBC
 
Mimi shabiki wa Barça ila nimeumia sana mwamba hadi chozi lilimtoka.

Kuna chizi alikuwa anaitwa Dani Alves yeye ulikuwa ukimwonyesha vitendo vya kibaguzi utaumia wewe tu. Kuna moja alirushiwa ndizi kuwa yeye sokwe akamenya maganda akaila akaendelea kulisakata kabumbu
 
Mimi shabiki wa Barça ila nimeumia sana mwamba hadi chozi lilimtoka.

Kuna chizi alikuwa anaitwa Dani Alves yeye ulikuwa ukimwonyesha vitendo vya kibaguzi utaumia wewe tu. Kuna moja alirushiwa ndizi kuwa yeye sokwe akamenya maganda akaila akaendelea kulisakata kabumbu
Dani alves yule hana time na mtu aliokota akala akaendelea kupiga kona😅😅
 
Mimi ni shabiki wa RMA ila Vini kazingua sana kwani mweusi alikua peke yake uwanjani? yule dogo ana mambo mengi yasiyo na faida huwezi kucheza kwenye pitch akili zipo jukwaani ! atulize akili acheze mpira ubaguzi siku hizi umepungua sana Italy na Germany ndio kulikua makao makuu ya ubaguzi lakini siku hizi hatusikii matukio .
 
Mimi shabiki wa Barça ila nimeumia sana mwamba hadi chozi lilimtoka.

Kuna chizi alikuwa anaitwa Dani Alves yeye ulikuwa ukimwonyesha vitendo vya kibaguzi utaumia wewe tu. Kuna moja alirushiwa ndizi kuwa yeye sokwe akamenya maganda akaila akaendelea kulisakata kabumbu
Huyo ndio kidume wakiona wala ubabaiki na maneno yao wataacha lakini hii unaaza kuandika sijui social media ni utoto.
Wee umeenda huko kusakata kabumbu upate hela zako basi mambo yakusema unaenda sijui kubadilisha mitazamo ha watu huko ni kukengeushwa tuu
 
Hivi ubaguzi unawezaje kuumiza mtu ?
Katika watu ambao wanakuwaga i don't care ni Mimi
Nimewahi kufanya kazi sehemu ambayo kulikuwa ubaguzi wa rangi wafanyakazi wenzangu walikuwa wana nitukana kila kukicha Wala sikuchukuwa mda Wangu kuwajibu Wala kuumizwa Na wanacho kisema nilipambana Na kazi yangu mpaka ikafika hatua wenyewe wakachoka Zao
Kwa hiyo Kuna mda chukulia ni kawaida tu wewe angalia malengo Yako tu wakutukane wanavyo jua wewe pambana tu hata sisi waafrika tunabaguana sisi kwa sisi Hakuna sehemu ambayo Kuna kosa ubaguzi duniani
 
Ila tatizo ni mdomo wake, kwanini Rodrigo, Rudiger hawajawahi kutwa na hiyo kadhia?

Vini bado ana utoto na ubishi usio na sababu na ndo maana kila mechi lazima aliwe kadi.

Mi shabiki wa Madrid ila dogo huwa anazingua na ndo maana marefa humdunga kadi.
 
La Liga wajitafakari, watu wanasema kwanini kila siku Vini tu na sio weusi wengine. Hapohapo wajiulize kwanini haya matukio hayamtokei kwenye mechi za UEFA?!
Vinni ana mdomo sana, kujiangusha kwingi, na kulia Lia kwa refa Kila muda. So hao anawaudhi wenyewe wakimkashifu analalamika. Mbona kina Camavinga au Rodrygo hawakuwahi fanyiwa ubaguzi?
 
Moja ya malalamiko ya kipuuzi kabisaa ya watu weusi. Watu weusi sijui tuna tatizo gani na kujiamini kwetu. Hivi hapa Tanzania kuna wahindi wangapi, wazungu wangapi, waaràbu wangapi, wachina nk. Hivi unadhani hawabaguliwi? Hawasemwi vibaya na watanzania na wao wanajua!? Lkn hao wenzetu kwa sababu kujiamini kwao ni kwa kiwango juu na Wana manamatumizi mazuri ya akili, huwezi kukuta popote wakilalamika kuhusu kubaguliwa kwa rangi zao. Waafrika tunaficha ujinga wetu kwa kujifanya hatuna ubaguzi..! Sisi tuna ubaguzi pengine mara 1000 kulinganisha na wao iwe kazini au popote pale. Mfano mzuri ni yule mchezaji mserbia wa Simba aliyekuja hapa mwaka Jana kuchezea Simba, alifanyiwa kila aina ya bullying..na alikuwa anajuaa! Lkn kwa sababu wao wanatumia vizuri akili, anajua akilisema hilo litaonyesha uhalisia..! Waafrica akitupiwa ganda la ndizi anasema amefafananishwa na nyani, kwa hiyo ukifanananishwa na nyani ndo inakuwaje unakuwa nyani ama!? Au inakupunguzia nn mpaka ulalamike!? Halafu ukilalamika yule aliyekufanyia akapigwa faini wewe utakuwa hufanani na nyani au utakuwa umeongeza tu wigo na wengine wajue wewe ni nyani kamili!? Na wazungu walivyo washenzi wanajifanya Hadi kuweka sheria za kupinga ubaguzi ..ni ujuha mtupu! Sheria hizo zinawafanya nyie wenyewe muendelee kujiona ni wa tofauti na malengo yao yanatimia. Acheni huu ujinga wa kulalamikia vitu ambavyo kiuhalisia havipo! Kule Africa kusini hakuna watu wabaguzi km watu weusi, lkn makaburu huwaoni popote wakilalamika. Matokeo yake haohao weusi wanabaguana wenyewe kwa kuwaita wengine wakuja. Tuna Mambo ya kipuuzi Sana ngozi nyeusi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom