Kuna algeria. Na nyingine piaHapo Afrika hamna nchi hata moja.
Na Afrika kusini na misriKuna algeria. Na nyingine pia
Hadi Kenya wametuzidi.......eti wa 96.
Unajua tofauti kati ya jeshi na kikosi lakini.....? Kilichopo Congo ni kikosi sio jeshi kamili......so sema tupo kwenye kikosi bora ambacho kipo Congo kulinda amani.Habarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi kujivunia kama Watanzania #tupendevyanyumbani
Unajua tofauti kati ya jeshi na kikosi lakini.....? Kilichopo Congo ni kikosi sio jeshi kamili......so sema tupo kwenye kikosi bora ambacho kipo Congo kulinda amani.
Na hiyo makala imeandikwa na mick wren ndio wabongo tunaisambaza.
35 Most Badass Elite Special Forces From Around The Worldsaimon111 sorry unaweza share huo waraka au kwa link naweza ipata labda nadhani nimeanza kukuelewa
Ila unaposema ubora ingefaa uweke ni ubora kwa nyanja ipi ya majeshi, kulinda amani, jeshi la infant, marine, airbone, komandoo. Ubora kwenye kilimo, uvuvi, au upande upi?Habarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi kujivunia kama Watanzania #tupendevyanyumbani
Pia ubora kwa kuringanisha na naniHabarini wana JF, kuna tetesi kuwa Jeshi la Wananchi Wa Tanzania (JWTZ) limekua miongoni mwa Majeshi Bora 30 Duniani, Kuna mwenye uthibitisho katika hili!!! na kama ni 30 kwa Afrika ama Dunia mzima Pia Msaada tafadhali ni vizuri taarifa nzuri kama hizi tukiwa tunazijua kwani ni sehemu ya sisi kujivunia kama Watanzania #tupendevyanyumbani
Mkuu hiyo No. 27 imenifanya nisiamini hiyo link. huwezi iweka tz hapo wakati haina intel, teknolojia, zana za kisasa na haina experience kwenye hizi operations.