Vikosi maalumu 16 bora na hatarishi zaidi duniani, Tanzania ni ya tatu!

We kalale acha kudanganywa,yaani Tanzania iwe ya 3 dunia nzima? List ya mataifa yenye special forces imara zaidi na za kutisha duniani,ni USA,Israel,Russia,UK,France,Japan,Germany,China,Canada,kwa hiyo na wewe unakubali kabisa kuwa Tanzania izishinde,FRANCE,UK,JAPAN,GERMANY na Canada kwa ubora wa Makomandoo? Hao wanaume wenu wa Dar ni majanga.

Umewasahau Korea!
 
Lakini Hao Wanaoenda Huko C Kidogo Tu Ya Jeshi? Alafu Sisi Tunasaidia Tu Tofauti Kama Vita Ingekuwa Nchini, Je Na Somali Wamekwenda?? Lkn Nataka Ujiulize Hayo Kitaalamu


hapa DRC tuliingia front,, na hata huko kwingine,, unataka kusema chi lazima ipigane kila siku ndo iwe imara,, kwahiyo CHINA, Korea, America ni dhaifu? na congo ni imara kwasababu tu iko vitani kila siku? think big mkuu
 
Halafu jamaa haeleweki hujui kukaa bila vita nako ni 7bu ya uhodar wa jesh letu? hao unaowaita wajanja wameliogopa
 
siraha kali ya kwanza ya kushinda vita ni hali ya kisiasa kwenye nchi.na hiyo ndo imekuwa siraha ya kwanza Tanzania mambo mengine yote yanafuata
 
We kalale acha kudanganywa,yaani Tanzania iwe ya 3 dunia nzima? List ya mataifa yenye special forces imara zaidi na za kutisha duniani,ni USA,Israel,Russia,UK,France,Japan,Germany,China,Canada,kwa hiyo na wewe unakubali kabisa kuwa Tanzania izishinde,FRANCE,UK,JAPAN,GERMANY na Canada kwa ubora wa Makomandoo? Hao wanaume wenu wa Dar ni majanga.

Ha ha ha wanaume wanaokula mahindi ya kuchomwa kwa chumvi, pilipili na ndimu?
 
Mkipewa sifa za kweli mnaanza kujiuliza imekuwaje, msinge tajwa mngepiga kelele pia! Busara inataka uulize vigezo vya hiyo ranking, na wamesema kabisa SPECIAL FORCES, Jeshi lote siyo special forces. Hizi units zinatraining maalumu, na zina kazi maalumu.
 
Sikilizeni Ninyi Jf, Msijicfu Kuwa Mna Vifaa Vya Kijeshi Vzr, Jiulizeni Swali Hili, Je Hivyo Mmetengeneza Tanzania Au Umenunua Nje?? Na Kama Mmenunua Je Alyewauzia Yeye Hana Zaidi?? Je Alyewauzia Hajawauzia Na Wengine?? Hiyo Changamoto

Mhh...! Vigezo sio vifaa mbona huelewi?!!! Ingekuwa ni suala la vifaa pekee yake Idi Amini aliyekuwa akisaidiwa na Gadafi kwa vifaa bora kuliko vya kwetu kipindi hicho asingepigwa! usi-base fikra zako kwenye kigezo kimoja tu!
 
Ndugu yangu unaonekana umelala usingizi wa pono,,, jeshi letu liko vitani miaka yote toka uhuru,, tulikua South africa, lebano, angola, nigeria, commoro, mosambique,, leo tuko hapa DRC niko DRC kuna majeshi mengi hapa ila Tanzania na South Africa ndo respected kwa medani za kivita.. wakeup msipende kuponda nchi yenu wakati hamuuijui

Huko si wako kama walinda amani (peacekeepers)? Kupigana vita na kulinda amani ni vitu viwili tofauti bro.
 
Msumemo. Nashauri usimuindoe illovo miwani ya mbao aliyovaa. Maana yawezekana ni mamluki anatafuta habari na lengo lake anapenda tupigane wenyewe ndo atambue kuwa jeshi letu imara .
 
Mtume wenu Muhammed ni mjinga tu kama wajinga wengine,ni gaidi mkubwa aliyewafundisha kuua kikatili,ni malaya aliyekuwa akioa hovyo nyambaf zake,ni mbakaji aliyekuwa akibaka vitoto vidogo,uislam ni ushetani hatari na ni dini ya kuzimu,Quran ni kitabu kilichojaa aya za ibilisi,dunia haiwezi kuwa salama hadi uislamu uifutike,uislam ni ushetani,haya nitangazieni fatwa washenz wakubwa nyie.Yesu huwezi kumfananisha na hilo gaidi lenu na zinifu kubwa Muddy.Mapepo yanatoka kwa jina la Yesu,hebu jaribu kutumia jina la muddy uone cha moto,uislam ni dini ya kipumbavu na kishenz hapa duniani,ISIS,Al qaeda,Boko Haram,Al shabab,eti mnampigania Mungu,aliwaambia ana shida ya kusaidiwa? Mungu si mwanadamu hata akasaidiwa,narudia tena uislam ni dini ya shetani kabisa,popote penye waislamu duniani ni balaa,kama ni ban acha nipewe ila msg sent.

uwiiiii mkuu utauwa achaaaaaa!!!
tuliza hasira tule Pasaka vzr
 
Nilikua uingereza wkt flani,nkashangaa kukutanishwa na wajeshi wa tz waliokua wanachukua mafunzo pale sundhurst.kwa hyo msiwabeze sana
 
huko hatuendi hadi COW coalition of the willing (rwanda na uganda) waende kwanza. hapo ndipo utaona umuhimu wa kuwa rafiki na jirani, na akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli. mpaka sasa ndugu zake kina COW sijasikia akilaani shambulizi. rwanda kanyamaza kimyaaa, uganda naye kimyaaa, si waungane mataifa matatu waende somalia? au hiyo east africa standby force ilikuwak waajili ya kuisaidia rwanda tu kupigana na fdlr 3000? ninawaonea huruma wakenya, na shambulizi limeniuma lakini nchi yangu haitashirikiana nao hadi cow waanze ili waone umuhimu wa kuwa na jiran kama tz. walituona sisi mavvi wakatutenga na kujiunga na cow ambao hawana kichwa wala
miguu.


Maneno makali, lakini kuna ukweli ndani yake. Bado tutaendelea kuchagua rafiki, hatuwezi kuchagua jirani.
 
Uhusiano wa ujuzi wa utumiaji wa Silaha ni tofauti Na mjini za vita
 
izo taarifa za uongo hazina ukweli bana israel palestine russia norway unaziweka wapi
 
Back
Top Bottom