Vikao vya bunge la kumi vimenza leo, lakini halionyeshi live

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Heshima kwenu wadau

Mimi bado sitaki kuamini kile nilichokipost humu ndani kuhusu kauli ya Naibu spika Job Ndugai akiwa anahojiwa na shirika la utangazaji BBC alisema mpango wa kutokuonyesha bunge, kama imekuwa kweli hivi maana bunge la leo halijaoneshwa

Hii imekaaje wanajamii?
 
hivi ni kweli......
 
Sujui nani kamdanganya ndugu yangu hapo kuwa Bunge limeanza leo...Nakushauri hata jambo la kusikia kabla hujalifanyia kazi lifuatilie kwanza...Bunge linaanza kazi kesho!
 
katika kipindi cha hot mix cha eatv jioni hii wameonyesha yaliyojiri bungeni muda mfupi uliopita
 
Wewe kweli Gambas, kumbe tusikuamini kwa lolote unalosema!Umetoka kutusimulia mabaya ya Magufuli mara umerukia huku tena na habari zako za vijiweni!Bunge linaanza kesho hebu acha kupotosha umma!!
 
Yale yalikuwa baadhi ya matukio ya bunge vikao vilivyopita mzee.Linaanza kesho
 
Sina comment hapa kwa kuwa sina uhakika na kinachozungumzwa hapa.
 
Heshima kwenu wadau

Mimi bado sitaki kuamini kile nilichokipost humu ndani kuhusu kauli ya Naibu spika Job Ndugai akiwa anahojiwa na shirika la utangazaji BBC alisema mpango wa kutokuonyesha bunge, kama imekuwa kweli hivi maana bunge la leo halijaoneshwa

Hii imekaaje wanajamii?

mkuu leo nikipita dom kuja dar niliona tu pale dodoma barabara zikifanyiwa usafi na kilichonifanya nichoke ni kuwa ukiingia tu dom barabara ya singida pale mwanzo wa double road nimekuta trafic wana toch kusogea kama one kilometa tena nimekutana nao na baada ya kuzunguka dom kote ni trafic ila ukiondoka tu kabla hujafika kwenye matrekta ya kilimo kwanza tena kuna tochi balaa nadhani hizi ni kwa ajili ya kukontol uendeshaji holela wa magari
 
Wewe kweli Gambas, kumbe tusikuamini kwa lolote unalosema!Umetoka kutusimulia mabaya ya Magufuli mara umerukia huku tena na habari zako za vijiweni!Bunge linaanza kesho hebu acha kupotosha umma!!

Yupo kazini huyo. Akitoka hapa anaenda Kinondoni kuwasilisha idadi ya threads na comments/replies halafu anapewa hela ili siku zisogee.
 
katika kipindi cha hot mix cha eatv jioni hii wameonyesha yaliyojiri bungeni muda mfupi uliopita

hiki kipindi cha kiswahili au kingereza? ni vipi umeshindwa kujua kuwa hili ni bunge la zamani
 
Yale yalikuwa baadhi ya matukio ya bunge vikao vilivyopita mzee.Linaanza kesho

SOTI ahsante kwa masahihisho mkuu, na kwa lugha ya busara uliyotumia
 
Last edited by a moderator:
mkuu mkuzi limeanza leo niamini na kuliwaka mto asikwambie mtu.
Mmmh, kwenye ratiba inaonyesha linaanza tar 9 mwezi wa nne. Inashangaza kama kweli limeanza leo. Labda kuna mjadala maalumu uliokuwepo leo ambao ulikuwa ni wa siri.
 
Ukiona thread za hivi unatakiwa utupie kitu cha hivi...
uploadfromtaptalk1365436062319.jpg uploadfromtaptalk1365436086430.jpg
 
Back
Top Bottom