magiribanya
Member
- Nov 19, 2015
- 22
- 3
Kampuni ya ujenzi ya CRJE, yaani CHINA RAILWAY JIANCHENG ENGENEERING, imeanza kutoa vifaa muhimu kama helmet, buti na overalls, kwa wafanyakazi wake na mamantilie wanapata maji ya kutosha ambayo walikuwa wakizuiwa kuchota ndani ya site.
Sasa hivi mabomba yamesogezwa hadi kwenye migahawa yao,barabara zinamwagiliwa maji kila uchwao coz ilikuwa kero ya vumbi kila siku, vibarua wanatatuliwa kero zao si kama zamani, kwa mfano vibarua wakiumia walikuwa wanajitibia kwa pesa zao na hivi sasa wanatibiwa kwa pesa ya mchina na gari yakuwapeleka hospitali wamepatiwa, yaani kila kitu ni shwari, kwani waliyafumbia macho mashida ya hawa wazawa kwa muda mrefu sasa.
Sasa hivi mchina anamnyenyekea kibarua na akizidisha muda wa kazi,overtime anatoa,yaani ni raha kwakweli,
All in all it because of the supersonic speed of Presdent Magufuli, which travells with a gigantic vigrant way which makes these people matumbo joto.