Vijana wa kuongoza na kulikomboa taifa letu bado hawajatokea waliopo walipalilia njia

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Kwa mtu anayefikiria kwa makini na kufatilia historia za nchi tofauti duniani atakubaliana na mie kwamba, kuwa kijana tu mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuadaa wananchi sio kigezo cha kuwa ndiye mkombozi wa taifa hili.

Ulishaona wapi hata kwenye vitabu vya mungu mpigania ukombozi wa nchi akawa rafiki na tawala husika katika nchi hiyo?je vijana wapigania ukombozi huwa wanapigania vyeo au ukombozi?na vyeo uja vyenyewe baadae tena kwa kujipanga kwa kadri vijana hao walivyoongoza ukombozi wa kweli katika taifa lao!

Kijana wa kitanzania na watanzania kwa ujumla TAFAKARI...!
 
Back
Top Bottom