Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.
Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia za woga sana. Tunaogopana mpaka wenyewe yaani ukiwa tofauti tu watu wanakuogopa! Hata diaspora hawapewi haki kwasababu ya woga, hatuna katiba nzuri kwa maendeleo yetu sote kwasababu ya woga.
Ukiangalia sehemu zenye maendeleo hata nchi kama US sio waoga wako tayari kufa ndiyo maana watu wanawaogopa. Kasikazini hawaogopi wapinzani angalieni maendeleo kule! Hata kwenye biashara hutafanikiwa kama ni mwoga. Vyama jasiri ndiyo vikubwa sehemu yeyote
Kuna vyama vingi vimekufa kwasababu ya woga. Demokrasia hatuipati kwasababu ya woga wa watawala na watawaliwa😂
Sasa vijana msiko acha huu utamaduni maendeleo kwenu itakuwa ndoto