Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,255
- 113,696
Lile XXXL toka North dakota vipi......
Ndio keshaweka au sijui keshawekwa nalo ndani....
Lile XXXL toka North dakota vipi......
Im not cheating myself, ukweli ndio huo age is just a number.
Is up to you!keep dreaming !!!vipi umeopowa kibabu kizee cha watu ?and you looking after? or is he looking after you ?
Kuoa mzee ni noma sana kwani huwezi kumkunja wala kumshikisha tendegu la kitanda pia hawezi hata kutoa sterial sound ni shida kweli kweli unaweza ukalambishwa tiketi ya maafa. te te te teeeeee
mh! kazi kweli kweli! vp kuhusu waliolewa na wazee nao inakuwaje.Kuoa mzee ni noma sana kwani huwezi kumkunja wala kumshikisha tendegu la kitanda pia hawezi hata kutoa sterial sound ni shida kweli kweli unaweza ukalambishwa tiketi ya maafa. te te te teeeeee
Nyie mnaotetea haya 'mapenzi' lazima mtakuwa wahanga wa kupenda mteremko..lol
Ni kwa sababu Waafrika wanajua kazi ya kuwaridhisha wanawake wa kizungu ambao waume zao ni wavivu sana kitandani. Na pia ni njia mojawapo ya kujihahakishia kuendelea kuishi ughaibuniWana JF, naweza kupata ufafanuzi ni kwanini ughaibuni vijana wengi wa kiafrica wameoa/wameolewa na VIZEE vya kizungu?? Au ndio matunda ya SEX TOURISM inayoendellezwa na VIZEE huku AFRICA???
kumekuchaSioni ubaya wowote wa mtu kuolewa au kuoa kizee cha kizungu. Huo ni uamuzi wa mtu. Na si kila mtu ana oa au kuolewa na kizee kwa sababu ya makaratasi.
wengine jamani wana mapenzi ya kweli, wazungu wanajua kucare na wanajua kupenda kwa kumaanisha. Age is just a number.