Vijana wa Bara Wapewa Vitambulisho Vya Ukaazi Z'bar?

Wakuu,
Msianze siasa za Sharrif Hamad ambaye huchiochea watu kisha akaingia kizani wakati mabo yamekuwa mambo..Ni uchiochezi kama huu ulosababisha maafa ya 2000 baada ya wajinga wachache kuanzisha fujo kwnai nakumbuka hata Unguja Wapemba walianza kudai wamechukua nchi yao..
Sasa ikiwa John Okello aliweza fanya mapinduzi kwa magobole within 24 hours mnafikiri kweli mnao Ubavu wa kupambana..
Nitawaomba sana tuepuke uchochezi wa aina hii kwani hauwatakii mema wala haki ya Wazanzibnar..Hatua zilizokwisha fikiwa na viongozi wenu zinatia moyo na hakika niaegemea mabadiliko makubwa ktk Katiba ya nchi kwani upepo wa kisiasa tayari umeshaanza chukua mkundo wake..
Maswala mazito yote yanakubalika pande mbili za viongozi wa visiwani iwe CCM au CUF, hivyo jaribuni sana kutumia muda huu kufikiria mema na mikakati ambayo itwawezesha Wazanzibar kuwa serikali ya pili ktk muungano wa nchi mbili..Madai haya ni halali na yanaweza kabisa kufikishwa ktk vyombo vya juu vya kidunia na hakika mtashida..
Leo hii tukizungumzia Wapemba na Wabara tutaanza vita nyingine, maanake navyofahamu mimi wilaya ya Temeke mtu hashindi uchaguzi bila baraka za Wapemba..Sasa nao wanyang'anywe vitambulisho vya kupiga kura kwa sababu ni Wapemba waliojiandikisha bara?..
 
Ushahidi upo na wengine walioandikishwa wako tayari kuonyesha vitambulisho vyao. Mimi binafsi nimewahi kufanya kazi na dada mmoja aliekwenda pemba kwenye kura zilizopita na alibandikizwa jina akiitwa Lauhia Seremani. Na akatiwa kipini puani na kuvali baibui eti aonekane kama mpemba. Alinieleza kuhusu tukio hili. Yeye ni mtoto wa watu wenye nafsi katika cha cha CCM. Na zaidi wapo walioahidiwa kazi jeshini kwa kupiga kura zaidi ya mara tisa huku zanzibar hatimae hawakuajiriwa kwa kuwa hawakuwa na shahada ya kumaliza high school. Zipo incidents nyingi tu za wizi wa KURA.
 
Falconer,
Kwa Pemba jina la Lauhia SEREMANI haliwezi kukubalika.kwanza hakuna kitu kama hicho....hivyo jina hilo sii bandia ila ni jina la bara tena sijui pande ipi...Mara nyingi kama sii zote jina bandia hufanana na lile la Original. Huyo dada kakufikisha mjini..ungesema Suleiman hapo tungejenga hoja lakini Seremani, mtumeeeeee!.

Sikiliza CCM hawawezi kushinda Pemba hawajashinda na wala hawatashinda pamoja na kupeleka watu. Kinachohjesabika ni Ushindi hata iwe kwa kura moja. Kifupi ni kwamba CCM hawana haja ya kupeleka watu Pemba.. wanaweza dai ushindi mfano wa Ahmadinajad.. wamefanya hivyo bara na wanaweza fanya hivyo sehemu yoyote bara na visiwani wakiiba kura bila kuandikisha watu wasiohusika. Binafsi naamini ushindi wa CCM siku zote upo ktk kuhesabu kura na sii hesabu ya wapiga kura.
 
Last edited:
Wajitayarishe kuuwawa kwa tairi na petroli kama vibaka, Tumechoka!

Hivi mnaanza lini kazi ya kuwachoma? Maana najiandaa kuja vekesheni huko na mimi ni mbara nisije nikaungua moto ndugu zangu. Tuambieni mapema moto mtaanza lini kuwachoma wasio wenu ili tusije. Nimesikitishwa sana na maamuzi haya. Biashara huko sifanyi tena! Ila nyie tunawakaribisha sana kwetu bara,hatuna roho mbaya kiasi hicho ndio maana wapemba kibao wapo huku tunaishi nao na biashara zao zinaenda vizuri tu.
 
Braza,
Huko Pemba nenda kwa marefu na mapana hakuna atakae kuchoma, kwani wana nyama nyingi tu zinatosha kwa mishikaki yao. Iwapo utakwenda kwa salama hutakua jambazi au kupiga kura uliokua unajua hustahiki kupiga pale basi nakuhakikishia utakaa kwa salama na utapapenda. Na ukitaka kuoa na wakahakikisha kua wewe ulichezea kisu utotoni (jando) na umekubali kuingia kwenye ile munaoiita dini ya Muhamadi basi wewe unakila qualification ya kuishi Pemba.
 
Hivi mnaanza lini kazi ya kuwachoma? Maana najiandaa kuja vekesheni huko na mimi ni mbara nisije nikaungua moto ndugu zangu. Tuambieni mapema moto mtaanza lini kuwachoma wasio wenu ili tusije. Nimesikitishwa sana na maamuzi haya. Biashara huko sifanyi tena! Ila nyie tunawakaribisha sana kwetu bara,hatuna roho mbaya kiasi hicho ndio maana wapemba kibao wapo huku tunaishi nao na biashara zao zinaenda vizuri tu.
Zanzibar ni njema atakaye aje lakini ukija na kujihusisha na mambo yasiyokuhusu utapata lisilokuridhi. Ukikutikana kituoni unajiandikisha utarudi salama nyumbani, vijana watakusubiri siku ya voti hapo utarudishwa "mkaa" kwenu. Hakuna roho mbaya tumechoka kunyanyaswa na CCM na vibaraka wake kama nyinyi huko mlivyochoka na mafisadi na wezi na mnawahukumu kabla ya mahakama kuwahukumu. Kila uchaguzi wanakufa Wazanzibari na wauwaji wanapandishwa vyeo, wanalindwa badala ya kupelekwa the Hague. Itakuwa roho za wazanzibar ndo za kutumika kupandishiana vyeo, no not any more, mara hii tairi tu....
 
Back
Top Bottom