Vijana tuwe na moyo wa kujiajiri wenyewe

nambimbi

New Member
Jun 5, 2014
2
0
vijana tunatakiwa tuwe na moyo wa kujituma na kujiajiri sisi wenyewe tukiitegemea serikali tutakufa bila ajira kwani:A S-eek: mambo ni magumu mtaani si mchezo mimi ndo uhauri wangu huo
 
simple like this?toa tips za kujiajir bila kuwa na kipato??wafanyeje na elimu waliopewa na kuwaandaa kuajiriwa na sio kujiajiri.

fafanua wewe umefanya nn hadi ukajiajiri
 
Easier said than done....hivi unadhani kuna mtu anapenda kumtumikia mwanadamu mwingine.....mitaji na fursa tu ndo tatizo
 
kanjibai: wee sabani fanya nn bana toa io kwa nn nachelewa takata sahara ote mm: shabani: ii bosi diii bosi!!
 
Back
Top Bottom