Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,138
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.
Bila kupepesa macho kisa kipo hivi, Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani.
Basi kutokana na mvua za hapa na pale kwenye jiji la Chalamila,nikajikuta najibanza kwenye kibanda fulani kikuukuu ambacho kilikuwa hakitumiki lakini mwanzo inaonesha kulikuwa na maman'tilie maana mazingira yalisadifu vile.
Basi nikiwa alone nangoja mvua zipungue ili niwahi kwenye kituo cha bajaji,alikuja mdada naye akiwa anajificha mvua basi tukawa wawili kwenye kile kibanda.
Naam mdada alikuwa mzuri,mashallah! kuna alarm ya nyege na tamaa ya ngono ilipita kama radi kuanzia tumboni hadi kwa Said kichwa,ila nikajikaza kiume.
Mdada alinisalimia kwa uchangamfu kama vile ananifahamu nami nikamjibu kwa kujichangamsha ili nisiwe mnyonge.
Mmmmmh hizi mvua za sasa hata haziishi zimeharibu miundombinu zinaleta kero mno Dah yaani nachelewa na nyumbani nina kazi za kufanya acha tu. aliumu yule mdada mrembo.
Hapana sister mvua ni neema pia, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote. niliongea kwa kujikaza mbele ya demu aliyeonekana kanizidi vingi, kuanzia ongea yake, kiswanglish chake na hata kimuonekano bado alinikuwa hawezi kutengeneza couple na mimi.
Basi mvua iliongezeka huku demu akiangalia saa kupitia iphone 14 yake na kuongea peke yake akidai anachelewa, ambapo moyo ulidunda na kuulaumu umasikini, sikuwa hata na nguvu ya kuchezea Tecno yangu niliona kama nitajidhalilisha. Kulikuwa na kijibenji fulani pale nikakivuta na kukifuta na kumwambia yule dada akae.
Mrembo yule kwa aibu huku akitabasamu,alijibu ahsante huku akiketi huku meno yake mazuri yakiutikisa moyo wangu, Dah kweli wakubwa wanafaidi.
Nikaamua kujilipua liwalo na liwe akimaindi nitatoka hata kama kulowa na mvua nilowe tu, ila lazima nijaribu bahati yangu.
Samahani naitwa Itovanilo, mwenzangu unaitwa nani,. niliuliza huku mapigo ya moyo yakienda mbio hata sikujua naogopa nini.
(akaguna)kwani unataka nini kaka yangu hapa si tumejificha mvua , kuulizana majina tena? ya kazi gani?anyway naitwa Sofia. alijibu kwa sauti ya chini ila hakuonesha kuchukia.
Dah nice name, mara nyingi watu wenye jina kama lako ni wapole na wakarimu sana. niliendelea kuweka uchokozi wakati huo yeye kakaa Mimi nimesimama mdada anachati kama mashine kwenye iphone yake huku simu yake nyingine Sony Experia ikiwa inaita kila muda ila anakata, sikujua ni kwanini.
Wewee tangu lini jina la mtu linashabihiana na tabia yake , hayo ni mawazo yako tu. alijibu kwa kuoppose.
hamna dada kwa mfano mwanamke aliitwa mwajuma huwa ni wakotofi sana halafu hawajatulia kabisa.
niliongea kwa kujiamini.
(Kwanza alicheka sana)Kisha akanikazia macho huku uso wake laini na macho ya upole akinitazama
Kisha akauliza swali.
Kwani wewe unafanya kazi gani, mbona umeongea jambo linafanana na ukweli kabisa unajua nini,hapa nachati na rafiki yangu anaitwa mwajuma nataka anifuate sasa anavyojishauwa na kunata naungana na wewe kwamba huwenda jina likaendana na tabia ya mtu.aliongea kwa hisia Sofia huku akinikazia macho.
Aaaah ndivyo ilivyo na hii si dhana kama watu wanavyoona bali ukweli ni kwamba jina ukipewa tangu utotoni basi linakaa kwenye njia.nilizidi kujizolea point mbele ya yule mdada mrefu,tumbo flat, zigozigo yaani English figure. Mweupe pee anang'aa akiwa na visendo vya kupachika, nikijizuia bastola isijikoki bila ruhusa.
Baada ya muda alipokea simu fulani akawa anaongea huku akiwa anaelekeza alipo ila hawakuelewana , akaniuliza kama nayajua yale mazingira. Nikamjibu napajua ndipo akanipa ile simu niongee na mtu wake nimuelekeze .
Niliongea na mwanamke ambaye alikuwa anaongea kama cherehani Kisha nikampa location tukaelewana na akadai hata kibanda tulipo anakijua nikaona ni nafuu.
Kwanini mtu akifuate si angekaa tu nyumbani na mvua hii, na pia gharama za usafiri kwani Kuna ulazima akufuate. niliwaza kimasikini yaani hali yangu nilidhani Kila mtu yupo hivyo.
Hapana ni lazima aje kwasababu alichukua gari yangu mchana, na yeye ndiye kanitembeza kwa miguu huenda hata mvua isingenikuta. alijibu kistaarabu.
(Kumbe ana gari huyu mwanamke, mmmmh hii namba siyo, aaah huyu siyo type yangu, mmmmh huyu simuwezi kabisa)nilijikuta nawaza nakukata tamaa huku ukimya ukitawala huku yule demu akiwa mtandaoni akiperuzi huku akicheka. Sikuwa na neno tena kama anamiliki gari tena,mimi si kama kunguni tu kwake nitampa nini,mwisho wangu kuhonga ni elfu kumi.
Aiseee hebu tuendelee na stori , umesema akina mwajuma ni wakorofi,na akifika namwambia kama umesema ni mkorofi ,aliongea huku nikiwa nimepooza sana wakati huo ila nilijikaza.
Hapana usimwambie bwana mimi nilisema tu asije akanimaindi.niliongea kiunyonge yaani gia zikawa haziingii kama mwanzo.
Mara kuna BMW ikawa inakuja taratibu mahali tulipo huku dada akiweka simu zake kwenye mkoba huku akiweka sura ya kukasirika.
Sasa chizi huyooo anakuja, mwenzangu unaelekea wapi, aliuliza huku nikitaja uelekeo .
Basi twende nikakuache makutano mimi mwenyewe naelekea huko huko
Basi mvua ikiwa inanyesha bado tukaingia kwenye gari na kuanza safari
Twende sehemu ya pili.....