Vijana tunaomba umri wa kustaafu uwe miaka 45 hiari na 55 lazima

Unaangalia mambo kwa mafungu..., Issue ni kuongeza kilichopo na sio kugawana kidogo kilichopo...

Moja; Ajira za Serikali zenyewe ni ngapi ? Kwanza administration / government / political jobs zipunguzwe zinakula tu pesa zetu bila value for money (teknolojia ya leo hatuhitaji ma-tax officer lukuki au wanasiasa wabunge kila kona) tuhajitaji ku-create jobs huku chini ambapo watu wanafanya production.. Na mentality ya kwamba ukistaafu unaenda kufanya kazi nyingine uondoke..., mtu apate kazi yenye ujira na siku akiondoka kwenye kazi yake apate pension mpaka siku anaingia kaburini..., Bila hivyo kesho yetu kama Taifa itakuwa ni ya mafukara na ombaomba kila kona.... Sababu hakuna kinachofanyika leo kuzuia hilo dhoruba la kesho.....
 
Vijana wa sasa wanakosa heshima kwa Wazee wao. Kwa kuanzia uzee si ugonjwa kama asemavyo mleta mada. Hapo alipo yeye ni Mzee mtarajiwa na pengine, katika hali ya sasa, anaweza asifike hata huko. Kuna mmoja kasema life expectancy ya Watanzania ni chini ya miaka 55. Rejea taarifa kuhusu hili jambo ambalo linaonesha umri huo kwa mwaka huu ni kiasi cha miaka 67. Pia kumbuka kwa vile nawe pia unaongezeka umri utashangaa kwamba hata huo umri unaozungumzia utafika nawe itakubidi ustaafu. Kwa kikokotoo hiki kilichopo ndo utagundua kuwa hujui kama hujui.
 
Nyie endeleeni kubeti, yaani 45 nistaafu alafu iweje ??? Hivi mnajua kikokotoo nyie
 
ajira ziwe perfomance based. mambo ajira ya kudumu kwa watu wa ukimani ni msamiati unadunisha uchapakazi.
 
Labda waondoe Kikokotoo then mstaafu apewe pesa yake 100% pension yake iwe nzuri mbona wengi watakuwa tayari?
 
ajira ziwe perfomance based. mambo ajira ya kudumu kwa watu wa ukimani ni msamiati unadunisha uchapakazi.
Naunga mkono ajira za Mkataba.
ajira za mkataba sio tu zitachochea ari na bidii lakini pia zitatoa fursa kwa vijana wengi.

Seriakli iachane kabisa na Ajira za KUDUMU....ikibidi basi iwe kwa vigezo maalumu.
 
Naunga mkono ajira za Mkataba.
ajira za mkataba sio tu zitachochea ari na bidii lakini pia zitatoa fursa kwa vijana wengi.

Seriakli iachane kabisa na Ajira za KUDUMU....ikibidi basi iwe kwa vigezo maalumu.
Unaongea kama Nani?
 
1.Umri wa kustaafu uangaliwe upya.
2. Kuwepo na ajira za mkataba maalum, ajira za masharti ya kudumu ziondolewe.
 
Back
Top Bottom