Vijana njooni huku CHADEMA tuikomboe nchi dhidi ya mafisadi

Mazoea

Member
May 31, 2012
34
1
Ndugu vijana wenzangu umefika wakati wa ukombozi tuikomboe nchi kutoka mikononi mwa mafisadi wakubwa ambao hawana huruma na jamii maskini.

Wamekaa madarakani miaka nenda rudi lkn kila siku ni afadhali ya jana.Wanapenda kujinufaisha wao kila siku na vizazi vyao huku watoto wa maskini wakisomeshwa shule zisizokuwa na madawati na hata walimu. Wakina mama wanalazwa chini huko mahospital wanapoenda kujifungua.

Huu ndo wakati wa kuikomboa nchi iwe ya kila mtu kufaidi keki ya taifa kuliko wachache wenye uroho kila cku ni wao tu na watoto wao.

Amina
 
Ndugu vijana wenzangu umefika wakati wa ukombozi tuikomboe nchi kutoka mikononi mwa mafisadi wakubwa ambao hawana huruma na jamii maskini. Wamekaa madarakani miaka nenda rudi lkn kila siku ni afadhali ya jana.Wanapenda kujinufaisha wao kila siku na vizazi vyao huku watoto wa maskini wakisomeshwa shule zisizokuwa na madawati na hata walimu. Wakina mama wanalazwa chini huko mahospital wanapoenda kujifungua. Huu ndo wakati wa kuikomboa nchi iwe ya kila mtu kufaidi keki ya taifa kuliko wachache wenye uroho kila cku ni wao tu na watoto wao. Amina
Mkuu hapa umenena. Shime vijana njooni.
 
Vijana tusipojitokeza sasa, historia itatuhukumu! Watoto wetu na wajukuu watapiga viboko makaburi yetu!
 
Back
Top Bottom