Vijana na Mapenzi.

kwa sababu kila mtu ana expectations zake anavoingia kwenye relationship, so kumdaka mtu kirahisi mvutie kwa malengo yake ufanikiwe kumpata then mengine baadae
 
Kwa sababu vijana hawapendi ukweli, wanapenda uwongo................ Ukiwa mwongo ni rahisi kuwini ktk relationship kuliko mkweli
 
Kwa sababu ya teknolojia imekaa kiongouongo ndo maana vijana wanakuwa waongo!!
 
kwa sababu ya Tamaa na ubinafsi..Kwa wale wakristo neno linasema kuwa siku za mwisho watu watakuwa wenye kupenda fedha na wenye kujipenda wenyewe na UPENDO wa wengi utapoa..
 
Back
Top Bottom