Vijana na kujikwamua kiuchumi ni wajibu wetu wenyewe (japo tunahitaji kuwezeshwa)

Mc abby

New Member
Sep 27, 2023
3
6
Habali zenu wakubwa
Husika na kichwa tajwa hapo juu,lengo la uzi huu ni kutaka vijana tuzidi kujikwamua kiuchumi bila kuzingatia ajila za serikarini.

Sasa basi tunajikwamuaje ikiwa hata mitaji yenyewe hatuna na connection hatuna?

Jibu:
Nimesikia kwa Habali za mikopo ya taifa kwa vijana. Hii inaweza kusaidia kwa namna moja Ama nyingine kwa kutukwamua kiuchumi vijana wenye malengo chanya

Hivyo tunaomba kujua kwa mtu yeyote anaesoma uzi huu mwenye kujua hiyo mikopo inapatikana vipi na ni process gani za kufuata ili kuipata

Hakika utakua umesaidia vijana wengi sana humu wenye nia hiyo na hawaelewi pa kuanzia

Karibuni sasa kwa kuchangia ndugu zangu [mention]mama D [/mention]
 
Kwenye mafanikio hakuna wingi.
tunahitaji 🚫
wetu wenyewe 🚫
Vijana 🚫
vijana tuzidi kujikwamua 🚫
 
Back
Top Bottom