Vijana mliopo Dar nendeni Katavi mkalime, mvua inamwagika

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno

Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki

Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima

Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie
 
UKWELI mchungu huu. Vijana tusipoteze muda wakati tuna nguvu za kufanya kazi! Itafika wakati wa kukumbuka shuka na kutaka kufanya kazi wakati nguvu hatuna tena.

Maisha ni kupanga.
 
Back
Top Bottom