Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

Nyie ndo mnakuja kugundua mnazama kwenye kina mkidhani mnaogelea
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kuna watu mapenzi mnayachukulia serious sana..!! Mapenzi ni sanaa inayoendeshwa na wasanii wawili, ukilijua hilo wala hutokaa uteseke.
 
Kwani bado mnaamini kuna true love? True love ni nyege zako tu zikiisha unasahau hata sura ya mpenz mwenyewe๐Ÿ™„
IMG_0396.jpeg
 
Sasa mimi ambaye simu haina sms hata moja kawaida na whatsApp itakuwaje si nitaonekana sifai kwenye hii dunia ya wapendanao.

Nikishasoma tu text hapo hapo huwa nafuta, na wala sina baya na mtu ni vile nimeamua tu.
 
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.

Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram na kwingine. Lakini Mkikutana au mnapokuwa pamoja, simu yake haiingizi Notification kabisa na wengine huwa wanaificha uioni, Yaani haiingii akilini hata Notification ya YouTube ulizo subscribe zisiingie jaman.

hii inatokea kwa mtu ambaye siyo mwaminifu na ana wasiwasi wa mtu kumtafuta au kumpigia, hivyo hataka mwenzi wake ajue simu imeita au sms imeingia muda ngani, ngapi. Unakuta kashawaaga kawaambia amelala au yupo kwa mama.

Tuseme sawa anakuheshimu na anakupa attention lakin ndo hadi notification kweli? mean huna wasiwasi na simu za muhimu yani anakuwa kashajipanga kutokuwepo hewani muda flan.

vijana Redflag sio lazima zikuumize kuna nyingine zinaanzaga kimasihara tu ila badae itakuumiza tu, wasio waaminifu wanaanzaga hivyo hivyo..
Tabu yanini yote wadogo zangu, kwanini mnataka mpendwe kama pesa? We tafuta msambwnda piga pipe, Jenga familia, usijenge kibanda kwa asilimia 100!, wekeza hisia 10% tu, ukifumania, wala haikupi shida, unapiga chini unavuta mwingine!
Dunia sasa hv inaweka chip kwenye u bongo, nyie mnasumbuliwa na mapenzi!
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… simu yangu ina silent notification za X/Twitter pekee,simu muda wote ipo kwenye silent mode. Nitakua napata kesi za mauaji ya kimbari kila siku .
 
Ni kosa kisheria kukagua simu isiyo yako, zingatieni faragha jaman, mpenzi wako akikagua simu yako kamshitaki kwa kosa la kuingilia privacy yako na uhuru wako

huyu atatakiwa akulipe fidia kwa kutaka kujisababishia magonjwa ya moyo/mshituko/hofu/presha endapo angeona taarifa zisizompendeza ktk simu yako.

Kataa kushare simu, kataa kutoa password kwa mpenz wako, kataa kuweka On notification unapokua na mpenzi wako, kataa kuchunguzwa, pinga ukatiri wa kijinsi
 
Watu wengi Mnashindwa kuelewaga mambo madogo na mnakuwa Vipofu katika mapenzi kwa kutoona vitu vidogo vidogo. Leo acha niwaambie ishara mbaya kwa mpenzi.

Mwamba/Dada unapokuwa katika harakati zako unawasiliana na mpenzo wako, na hata msipowasiliana basi utamkuta online huko WhatsApp, Instagram na kwingine. Lakini Mkikutana au mnapokuwa pamoja, simu yake haiingizi Notification kabisa na wengine huwa wanaificha uioni, Yaani haiingii akilini hata Notification ya YouTube ulizo subscribe zisiingie jaman.

hii inatokea kwa mtu ambaye siyo mwaminifu na ana wasiwasi wa mtu kumtafuta au kumpigia, hivyo hataka mwenzi wake ajue simu imeita au sms imeingia muda ngani, ngapi. Unakuta kashawaaga kawaambia amelala au yupo kwa mama.

Tuseme sawa anakuheshimu na anakupa attention lakin ndo hadi notification kweli? mean huna wasiwasi na simu za muhimu yani anakuwa kashajipanga kutokuwepo hewani muda flan.

vijana Redflag sio lazima zikuumize kuna nyingine zinaanzaga kimasihara tu ila badae itakuumiza tu, wasio waaminifu wanaanzaga hivyo hivyo..
Unahoja yapaswa usikilizwe
Over
 
Back
Top Bottom