Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa mfano moyo, kiasukari presha na saratani yanakua na risk factors nyingi ikiwemo
👉Umri
👉mtindo wa maisha
👉Genetics
Na tunajua risk factors sio chanzo cha moja kwa moja bali ni mambo ambayo ukiyafanya yanaweza kukuelekea ukapata magonjwa hayo

Mtu anaweza asiwe na umri mkubwa na mtindo wake wa maisha ni wa kawaida sio sedentary lifestyle, anapiga zoezi vizuri lakini akapata kisukari akapata pia saratani na hata (cardiac diseases) juzi tu tumesolve kesi moja mtoto wa miaka miwili ana myocardial infraction. Ila anaendelea vema
Hapo kuna factor moja imebaki ambayo ni genetics.
Kuhusu energy drinks na kuleta magonjwa ya moyo probably inaweza sababisha lakini inaingia hapo kwenye mtindo wa maisha.
Energy drink ni kwaajili ya kupunguza fatigue ikiwa kuna ulazima wa kuendelea kufanya kazi na ingredient yake kubwa ni caffeine, ikitumiwa kiasi sidhani kama inaweza leta ugonjwa wa moyo, na tunajua too much is harmful.

Hapo juu nimeona kuna member anakunywa energy 6 kwa siku
Wanachuo wanakunywa energy na skonzi😂 hio ndio chai pia mtu anakunywa energy drink kisha anaenda kulala😂😂 for what?
Kwa staili hio tutapona kweli?
All in all too much is harmful

Dkt. Gwajima D
Dr Restart
DR Mambo Jambo
Dr am 4 real PhD

Mnaweza ongeza jambo hapa.
Asante mkuu kwa kuutambua uwepo wangu 😊😊

Miaka kadhaa iliyo pita nilishuka kwenye bajaji kituoni nikaelekea dukani Nikanunua MO ENERGY Ile kubwa ya baridi nakumbuka siku iyo nilikua sijala chochote tangu asbuh.........

Nika igida fasta fasta kwa haraka nikaimaliza chap hapo hapo nikaanza kutembea kwa haraka mwendo wa mita 50 nikawa nasikia moyo unapiga mpaka una Uma nikajilazimisha kuendelea kutembea Mbona nilishindwa nikatafuta Eneo la karibu kibarazani kwa watu nikawaomba nikae hapo nikaanza kuwasimulia Ile Khali ilikua mbaya Sanaa mpaka nilipo pata unafuu ndipo nikaweza kuendelea na Safari Mimi nilishaga achana nazo tangu siku iyo 😊😊😊

Unywaji wa energy too much hupelekea matatizo ya kukosa usingizi na matatizo ya mfanano wake Kama Addiction...

Pia energy zikiwa Zina karibia ku expire Ni sumu mbaya mnoo kwenye mwili...

Kwa kuongezea ongezea unaweza uka Soma hizi findings hapa below...

Energy drinks bad for your heart, finds study​

    • 2. Contd… Energy drink consumption can lead to high blood pressure, increase in heart rate and serious cardiovascular risks, a new international study by the Journal of American Medical Association (JAMA) has shown. The study highlighted that even one energy drink can cause potentially harmful spikes in both stress hormone levels and blood pressure in young, healthy adults. Researchers and doctors said the risks are likely to be related to excess of caffeine and other stimulants present in such drinks. “Energy drinks contain caffeine and other stimulants which increase stress on cardiovascular system.Frequent use of such stimulant increases extra burden on heart. So chronic users of such drinks are prone to heart problems,“ said Dr Kewal Krishan, program incharge, heart transplant and ventricular assist devices, at Max Hospital. Experts maintained though the findings are significant, they need larger studies to validate the results.
    • 3. Contd… The researchers examined the effect of energy drink consumption on hemodynamic changes, such as blood pressure and heart rate. Participants were fasting and abstained from caffeine and alcohol for 24 hours prior to each study day . Serum levels of caffeine, plasma glucose and norepinephrine (noradrenaline) were measured and blood pressure and heart rate were obtained at baseline and 30 minutes after drink ingestion. Results of the study showed caffeine levels remained unchanged after the placebo drink, but increased significantly after energy drink consumption. Consumption of the energy drink elicited a 6.2% increase in systolic blood pressure, whereas diastolic blood pressure increased by 6.8%.Consumption of energy drink also increased average blood pressure level by 6.4%. Doctors in India say there is an increasing trend of consuming these com mercially available energy drinks, mainly among youths and this can amount to serious health risks.
    • 4. Contd… “There is a trend of increasing intake of energy drinks before difficult task ike exams and sports; however, this could lead to increase in autonomic nerve system responses as demonstrated in this study , and thus could jeopardise task performance instead of easing it. Further, repeated intake will increase blood pressure and possibility of heart disease,“ says Dr Anoop Misra, a leading endocrinologist and chairman, Fortis C-Doc.
 
    • 1. Energy drinks bad for your heart, finds study

Hizi reference sasa zimekaa kitaalamu kabisa. Mwenye sikio na asikie
 
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa mfano moyo, kiasukari presha na saratani yanakua na risk factors nyingi ikiwemo
👉Umri
👉mtindo wa maisha
👉Genetics
Na tunajua risk factors sio chanzo cha moja kwa moja bali ni mambo ambayo ukiyafanya yanaweza kukuelekea ukapata magonjwa hayo

Mtu anaweza asiwe na umri mkubwa na mtindo wake wa maisha ni wa kawaida sio sedentary lifestyle, anapiga zoezi vizuri lakini akapata kisukari akapata pia saratani na hata (cardiac diseases) juzi tu tumesolve kesi moja mtoto wa miaka miwili ana myocardial infraction. Ila anaendelea vema
Hapo kuna factor moja imebaki ambayo ni genetics.
Kuhusu energy drinks na kuleta magonjwa ya moyo probably inaweza sababisha lakini inaingia hapo kwenye mtindo wa maisha.
Energy drink ni kwaajili ya kupunguza fatigue ikiwa kuna ulazima wa kuendelea kufanya kazi na ingredient yake kubwa ni caffeine, ikitumiwa kiasi sidhani kama inaweza leta ugonjwa wa moyo, na tunajua too much is harmful.

Hapo juu nimeona kuna member anakunywa energy 6 kwa siku
Wanachuo wanakunywa energy na skonzi😂 hio ndio chai pia mtu anakunywa energy drink kisha anaenda kulala😂😂 for what?
Kwa staili hio tutapona kweli?
All in all too much is harmful

Dkt. Gwajima D
Dr Restart
DR Mambo Jambo
Dr am 4 real PhD

Mnaweza ongeza jambo hapa.
Kwenye genetics hapo kuna watu wanazaliwa tayari kwao wana asili ya ugonjwa flani unakuta mwili unasubiri kisababishi tu ambapo ndipo hapo umezungumzia risk factors na lifestyle.

Ndio maana kuna watu wanavuta sigara hadi miaka 85 na mtu hakohoi na mwingine anavuta sigara miezi mitatu anapata kansa ya mapafu japo ni kweli sigara ni mbaya sana kiafya.

Nimekuelewa vyema kiongozi.
 
Back
Top Bottom