Vigogo wazidi kutia mguu loliondo

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
asiramkono.jpg
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Uhusiano na Utaratibu) Steven Wassira na Mbunge wa Musoma vijijini Nimrod Mkono (kulia) wakinywa dawa kwa mchungaji Ambilikile Mwasapila katika kijiji cha Samunge, Loliondo wilaya ya Ngorongoro.Picha na Fidelis Felix​

Source: JESUS IS LORD
 
wacha wanywe ile dawa ni ya ukweli,nimepata kikombe nimeamini matokeo yake, na wakati nilikuwepo babu alisema tumtumie salamu kakobe na wingira kuwa wasome bibilia vizuri akatoa na mstari kutoka mt 10;10 na pia akamtaka RA kuwa anajua yeye ndiye wakala wa ARV hivyo mwisho wa watz kuzitumia ni huu
 
mkuu mstari hapo kwenye nyekundu unasema hivi ``wala mkoba wa safari, wala kanzu mbili,wala viatu, wala fimbo; maana mtenda kazi astahili posho lake.
je babu anasema maana yake ni nini? au anataja tu ili watu waongeze vifungu vya kusoma?
 
Mkuu Aswad band, leo hii ndo unajua kuwa nji yote ya Tanzania ni wagonjwa?!:tape:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom