Vigogo wa CCM wahusishwa na wizi wa madini ya bauxite na uharibifu wa mazingira Same

Serikali ya CCM Siosikivu kama wanavyo jigamba. Ni muda mrefu sasa wananchi wa Marieni na mze kata ya mheza wamefuatilia swala hili kwa mkurugenzi na Dc lakini majibu wanayopewa nikuwa swala hilo wao hawahusiki. Mara kwa mara hata mbunge amekuwa akikwepa kujibu hoja za wananchi. Nadhani sasa hapa jamvini ni mwafaka najua viongoz weng wa Chadema mnapitia hapa.
Simon,
kwanini wananchi wasipinge kwa maandamano kama wakati wa MBIRU? wapare hatuna asili ya kukubali uonevu na kunyanyaswa kiasi hiki. pia suala hili lipelekwe kwa wabunge wa chadema kama mheshimiwa Zitto na John Mnyika waliwasilishe bungeni kwa mtindo wa hoja binafsi. uchimbaji wa bauxite unakausha mito ambayo ni chanzo cha maji kwa ajili ya KILIMO na matumizi mengine wilayani Same. haiwezekani tajiri mmoja ahatarishe maisha ya maelfu ya wananchi wa wilaya ya same. hali ikiendelea namna hii kuna hatari ya kutokea BALAA LA UKAME na NJAA na Upare ya Kusini haitakuwa kama tunavyoifahamu.
 
Nashangaa jeshi la Polisi na usalama wataifa badala ya kumkamata huyu mwizi na mharibifu wa mazingira wanasubiri wananchi waandamane wawapige mabomu. WIZI HUU HATUTAuùmilia tena kama hamtamtoa sisi kwa mapanga na rungu tutamtoa ili tulinde mazingira na rasilimali zetu
Nchi haina uongozi. Waliopo ni watawala na wanajitapa eti ni watawala bora! Sijui nani anayetaka kutawaliwa?
 
Mahali pengi palipo na wizi wa Raslimali za nchi yetu ccm hawakosekani ni Dhaifu mno
 
Bauxite siyo madini,hiyo ni ORE,ambayo ikichenjuliwa ndani yake unapata aliminiamu.

Nadhani mtoa mada utaweza rekebisha hilo,

From that bauxite huyo mjamaa ndo anaenda toa madini,so inakaprosesi kidogo.
 
Imany John. Kama udongo wa bauxite ukipembuliwa tunapata Aluminium huoni wizi unaofanyika ni wizi wa madini? Ndio maana nimesema tunaibiwa minerals mchana kweupe kwa bei ya kihuni. Huku tukiharibiwa mazingira kumbuka Aluminium is a silvery ductile metalic element found in Bauxite, it is a soft, durable and lighten. TUNAIBIWA MADINI. Alafu wakisha pembua udongo unaobaki wanatengeneza Cement aina ya Bamburi ambayo kiwanda chake kipo kenya. Kwa hyo wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. This is silly gvt in another silly season

Hata kama ina kaproces lla huoni ni wizi unafanyika?

Natumia elimu yangu ndogo ya kijiologia.Naomba unielewe kwa maelezo yangu,cjakataa kama yana thamani
 
Nashangaa jeshi la Polisi na usalama wataifa badala ya kumkamata huyu mwizi na mharibifu wa mazingira wanasubiri wananchi waandamane wawapige mabomu. WIZI HUU HATUTAuùmilia tena kama hamtamtoa sisi kwa mapanga na rungu tutamtoa ili tulinde mazingira na rasilimali zetu

Simon,
wanachotaka mafisadi serikalini ni wananchi wafanye vurugu ili wadai kwamba ni wahuni na wasiofuata taratibu. kinachotakiwa na kuwepo kwa Ujumbe wa wananchi wa Same/Chome utakaojumuisha wazee,kinamama,na vijana, kwenda kwenye KAMATI ZA BUNGE kama za madini,misitu,mazingira,maji,kilimo, kueleza jinsi mradi huu unavyoathiri maisha na kutishia uhai wa wananchi wa Same. Pia kilio hiki kipelekwe kwenye mashirika ya UN na MABALOZI wa nchi zinazofadhili miradi ya kilimo na maendeleo katika wilaya ya Same. Jambo lingine ni kupigania msitu wa SHENGENA upewe hadhi ya HIFADHI YA TAIFA. Dawa ya CCM ni kuwashitaki kila mahali kuanzia kwa wananchi,bungeni, na hata kwa nchi wafadhili.
 
Tunategemea wataliibua
Hivi ni kwa nini makamanda wa CDM hawaliibui hili jambo likajadiliwa hadharani na kupatikana majibu yake? Nimesikia hili jambo likiongelewa chinichini tu, lakini mpaka sasa sijasikia mtu yeyote akiulizwa au kuwajibishwa!
 
Nani mwingine angeeiba zaidi ya michwa wa CCM,hawa niwakuwaenguwa kabla hawajaanza kuuza meno na macho yetu hawafaaaaaaaaaaaaiii
 
sadam aliweka mapicha yake iraki nzima kila mahali ...kenya ilikuwa kila taarifa ya habari unapigwa wimbo wa taifa moi anaoneshwa hata kama ni habari yakipuuuzi ...tumeona misri jamaa anahukumiwa akiwa kwenye machela time will tell.
hapa kwetu ilianza hivyo kiongozi akija tulikuwa hatuendi shule wala kaini shuhuli zote zima sima nakuimba tanzania nakupenda aaaa wapi homa inaanza taratibu subiri muda
hata kama watakuwa makaburini tutayafukuwa....wameuza viwanda na kuuwa mashirika hawa ccm hata lakwao sukita ...wametudhulumu viwanja vya michezoo laana hata michezo haifantiki sijui wanangangania vya nini au maduka yalio zunguka pesa kwa ajili ya tumbo zao kama za komba
 
Kuna mtu hadi asaiv ameshachukuliwa hatua kwa mahojiano zaidi au hadi Zitto aongee.

Nchi ina wenyewe but Tjipe muda tutawajua tu wenye nchi ni kina nani
 
Back
Top Bottom