Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 411
Tusaidiane Wakuu,
Unajiunga kifurushi cha 24hours unampigia mtu unaongea naye dakika 2. Baada ya hapo unatingwa na kazi za mchana, unarudi jioni nyumbani umechoka unakula chakula cha jioni, unaangalia taarifa ya habari ITV unaenda kulala, unaamka asubuhi unataka kumpigia boss umtaarifu daladala zimegoma unapoinua simu unasikia meseji inaingia. Kifurushi chako kimeisha. Hali kadhalika kwa vifurushi vya wiki na mwezi.
Huu ni wizi,TRCA wao wapo na cyber crimes wanawaacha mafisadi yakizidi kuwanyonya watanzania.
Tunawaomba TCRA wasimamie makampuni ya simu ili kama mteja amepewa kifurushi cha masaa 24, basi apige simu kwa muda wa masaa 24 hata kama atayamaliza masaa hayo kwa mwezi mzima au zaidi.