Vifo vya Samaki Mto Mara: Mvua ilitibua tope na Mafuta yanayoelea ni mafuta ya mimea iliyo chini ya Mto Mara

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,347
3,033
Hii ndio hali ilivyo kwasasa to cut the story short ni yaleyale hayana tofauti ile riporti ya yule mwananchi mwenzetu aliepoteaga halafu akaokotwa viwanja vya Gymkhana Club

Japo badae alijistukia akasema kweli watanzania sio wajinga baada ya kuona kavurunda. Sasa tumerudi tena kulekule tulikotoka

KWA HALI HII KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA

Hebu sikiliza huu upupu hata mtoto wa darasa la Saba hawezi kuelewa hii kitu

"TUNATAKA KATIBA MPYA"
 
Hii ndio hali ilivyo kwasasa to cut the story short ni yaleyale hayana tofauti ile riporti ya yule mwananchi mwenzetu aliepoteaga halafu akaokotwa viwanja vya Gymkhana Club

Japo bade alijistukia akasema kweli watanzania sio wajinga baada ya kuona kavurunda. Sasa tumerudi tena kulekule tulikotoka

KWA HALI HII KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA

Hebu sikiliza huu upupu hata mtoto wa darasa la Saba hawezi kuelewa hii kitu

"TUNATAKA KATIBA MPYA"

Tena tunaitaka kabla mambo hayajawa mengi.
 
Huyu ni mpumbavu kabisa.
Hivi imechukua miaka mingapi haya mafuta kufanyika?

Kwa maji yanayotiririka,inahitaji "force" kiasi gani kwa matone ya mvua kutibua matope yaliyoko chini ya mto?

Watu kama hawa wanapataje vyeo?.

Je, kila sehemu ya mto ina matope?
 
Nchi inapitia kipindi kigumu Cha majaribu ya kiuongozi.....hapa ndipo naona utofauti wa nchi kuongozwa na rais na kuongozwa na rahisi
 
Nchi inapitia kipindi kigumu Cha majaribu ya kiuongozi.....hapa ndipo naona utofauti wa nchi kuongozwa na rais na kuongozwa na rahisi
Kwa hiyo mavi na mikojo ya Ng'ombe ndiyo mmeipotezea hivyo? na mmeibuka na mafuta tena?
 
Sasa mimi nadhani hiyo mimea inayotoa mafuta, ingetusaidia sana hasa katika kipindi hiki ambacho mafuta yamepanda bei.... inabdi yaoteshwe kwa wingi sana kila mahali. Liwe zao la kipaumbele.
watuambie ni aina gani ya mafuta na yanatokana na aina ipi ya mimea na hiyo mimea kwanini iwe chini ya mto mara peke yake maana tz tuna mito mingi sana na kwa asili ya uoto wa tz mimea mingi inafanana kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Hii ndio hali ilivyo kwasasa to cut the story short ni yaleyale hayana tofauti ile riporti ya yule mwananchi mwenzetu aliepoteaga halafu akaokotwa viwanja vya Gymkhana Club

Japo bade alijistukia akasema kweli watanzania sio wajinga baada ya kuona kavurunda. Sasa tumerudi tena kulekule tulikotoka

KWA HALI HII KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA

Hebu sikiliza huu upupu hata mtoto wa darasa la Saba hawezi kuelewa hii kitu

"TUNATAKA KATIBA MPYA"
View attachment 2165612
speech kama hizi zinaharibu na kutia aibu nchi yetu na zinasababisha tuendelee kudharaulika kimataifa na pia kudharaulika na nchi majirani. ifike wakati wasomi wetu mutuondolee aibu kama hizi.
 
Hiyo ndio shida ya kuongozwa na wazee
tatizo sio uzee, tatizo ni kuongozwa na wchumia tumbo. watu wasio na uchungu wa kweli na tz ya sasa na ya baadae wasio na ucgungu na wele wanaoadhirika na madhara yatokanayo na kile wanachokiteteta.
 
Back
Top Bottom