Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno

Binadamu Hana shukrani. Jitahidi kuwa na moyo wa shukrani. Maji yalianza kuingia kabla dogo hajafungua mlango. Pua la mbele ya ndege lilijigonga kwenye tope likapasuka hivyo kuruhusu maji kuingia. Ndio maana maji yalijaa mbele ya ndege.
 
Mwamba kaamka tu kaamua kumuita mwanaume mwenzake aliejitolea kuokoa maisha eti kijana wa hovyo. Nchi kweli ngumu hii aisee
 
Hata kama yule kijana alikosea lakini alikuwa na nia njema ya kuokoa watu!
Pale jirani nasikia kuna kikosi cha Jeshi cha Navy na Jeshi la anga,sasa hawa walikuwa wanafanya nini?
 
Inasikitisha sana yale yalotokea kipindi mv bukoba inazama leo hii ndo yale yale yaloikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivotarajiwa

Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na kubakiza mkia na eneo la kati vikiwa havijafikwa na maji

Kilikuwa ni kitendo cha kuvutwa ile ndege na kusogezwa eneo lina kina kidogo ndo mlango ukafunguliwa

Yakafanywa yale yale ya MV Bukoba, akatokea kijana wa hovyo asie na maarifa akafungua mlango wa ndege na kusababisha abiria walokuwa ndani ya ndege na rubani wetu maskini wamejifunga mikanda ili kungoja taratibu za uokoaji, kijana wa hovyo alafungua mlango na kuingiza maji kwenye ndege

Ndicho kilichofanya abiria hao 19 kufariki Dunia ni jambo baya mno
Kazi yenyewe ndani ya jeshi la uokoaji haina mshahara mnono kihivo, punguza wivu kwa mwanaume mwenzako pimbi wewe.
 
Yaan wewe ujuaji mwingi wakati huna unalo lijua ,ni wivu tu Ndio unakusumbua

Unaambiwa ndege baada ya kutumbukia kwenye majia upande wa mbele maji yalianza kuingia na abiria walio kaa siti za mbele walianza kufunikwa na maji huku wa nyuma wakihaha kujiokoa (hayo ni maneno ya abiria aliye okolewa baada ya kuvunjwa mlango) sasa wewe wa nje huko ambaye hata ndege yenyewe hujawahi panda unaleta ujuaji wako

ndio baadae baada ya mlango kuvunjwa wakaanza kutolewa maana yake bila mlango kuvunjwa wangekufa maji wengi zaid maana maji yalisha anza kuingia ndani kabla hata ya mlango kubunjwa.

Acha ujuaji na roho ya wivu kama mwenzio kapata usianze kumaagia kunguni kwa sababu za kuokoteza hiyo ni roho ya shetani kabisa uliyo nayo

Eti wangevuta ndege kwenye maji mengi kwa akili yako ilivyo ndogo unadhani ingeelea sindio? huna akili ingawa unajiona unajua kufikiri.
Na yule dada alisema walipanda kwenye viti baada ya maji kuwa mengi , na walishaanza kunywa maji maana yalikuwa yameshafika shingoni.
 
Kwa huu upuuzi bora tu nipigwe ban moderators wakiamua.

We jamaa ni msenge sana kvm@ wewe. Kama umeandika kwa ajili ya kupata attention huna tofauti na mash0g@ yanayokatikia wanaume wenzao k√m@ ww.

Wewe ni m$eng£
 
Hewa kwenye ndege haihitaji injini kuwaka, Kuna kitu kinaitwa Auxiliary Power Unit kama sio System, ni kama generator linakua mkiani kwenye ndege ndio hutoa umeme ndege ikiwa haijawasha injini. Utakumbuka mkiwa mnapandia kwenye ndege injini zinakua hazijawaka lakini umeme unakuwepo kwenye ndege.

Kwa hii kesi, maji yalianza kuingia Mara baada ya ndege kujipigiza kwenye maji.
Nadhani ndege iliharibika kwa chini na maji yakaanza kuingia. System ya oxygen inakuwepo lakini ni lazima kuwe na maandalizi ya kutoa zile mask, sidhani kama ilikuwa ni emergzncy landing, itakuwa alikuwa alishindwa kutua ndio hayo yakatokea.
 
Kwa huu upuuzi bora tu nipigwe ban moderators wakiamua.

We jamaa ni msenge sana kvm@ wewe. Kama umeandika kwa ajili ya kupata attention huna tofauti na mash0g@ yanayokatikia wanaume wenzao k√m@ ww.

Wewe ni m$eng£
WACHA TUPIGWE BAN .naona na mie niongeze mtusi mmoja maana kakera sana. MTOA MADA WEWE NI MBWA MSENGE
 
Mlango usingevunjwa wangekufa kwa kukosa hewa. Ndege haina mfumo wa kuingiza hewa ndani naturally...lazima engine ziwake ndo hewa iingie..it's obvious engine zilizima ndege ilipokuwa kwenye maji. Na pia ukiangalia Ile pua ya ndege ilivyoharibika lilikuwa ni suala la muda tu ndege ingejaa maji
Huu ndio ukweli mkuu
 
Watu watabisha hili andiko ila inatakiwa akili ya ziada kuwa positive na andiko hili, kwa hakika ni aibu sana, mkoa hauna winches, kweli walikosea ha semi trailer mbili za kuivuta Ndege, seems kama kuna mtu wa lazima alipangwa afe.

Andiko lako ndio sahihi kitaalamu, waafrika utaambiwa heri nusu Shari kuliko Shari kamili.

Upande wa Kagera hakuna madivers !? Aibu sana
 
inafikirisha sana, kwahiyo abiria waliokaa mbele hao 19 wakati maji yanaingia walikuwa wamekaa tu kwenye kiti bila purukushani au kuwaza kukimbilia nyuma.

Binafsi naamini kuna walioanza kufa kwa kukosa hewa na wale strong wengi wao ndio hao wamesurvive.

Covid wengine inawaua, wengine inawalaza na wengine ni kama mafua ya kawaida tu, inapokosekana hewa wapo wenye mapafu mazuri wenye uwezo wa kusurvive na wenye mapafu dhaifu ambao ukimnyima hewa 5mins tu safari lazima imkute, kuna wenye pumu humo, wenye pressure na maradhi mbalimbali ambao wakikosa hewa tu lazima wafe.

Fanya zoezi la kubana pua zako na kujizuia kupumua kwa dk kadhaa na ukijiona baada ya dk chache ukianza tena kupumua unapumua juu juu tambua uko hatari incase kwenye dharula kama hizi.

Kuchelewa kwa uokoaji ndio sababu kubwa iliyosababisha vifo vya watu wengi na mamlaka lazima ziwajike juu ya hili, haraka sana baada ya ndege kugusa maji kungekuwa hata na 5 x proffesionals divers + wavuvi naamini watu wote wangetoka salama.
 
Ukishajijua una iq ndogo epuka kujihusisha kwenye mada kubwa kubwa maana kwa kufanya hivo utauepusha ukoo wako na aibu ndogondogo
 
Akili kubwa mawazo yake huonekana na taswira hasi kwa wasio na fikra toshelezi.

Tuheshimu mawazo, chukua muda tafakari, kila awaye miongoni mwetu anayotofauti yenye manufaa, azima akili kwanza kabla hujajamba kwa mikono na kichwa chako.

This guy has a valid point especially for lives lost of the ,19 people, Mkatae ukweli utasimama
 
Kijana kafanya KAZI nzuri Sana anahitaji pongezi kubwa tatizo uokozi kwa njia ya kuivuta ndege ungechukua muda mrefu na wangekufa wengi
 
What if is also valid depending on certain underlying conditions. Who knows vigilance, variety, alternative thinking is also healthy.
 
Kwa huu upuuzi bora tu nipigwe ban moderators wakiamua.

We jamaa ni msenge sana kvm@ wewe. Kama umeandika kwa ajili ya kupata attention huna tofauti na mash0g@ yanayokatikia wanaume wenzao k√m@ ww.

Wewe ni m$eng£
Ukipona,ushukuru
 
Kenge una wivu mbaya sana ww.
Si afadhali jitihada alizofanya kuliko angezubaa wakafa wote.
Mkishiba makande muwe mnaenda choo maybe itasaidia kupunguza nya vichwani.
 
Back
Top Bottom