Vifisadi Vitoto Tunavijua (VVT)

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
804
Habari zenu wanaJF? Humu ndani kuna mashushushu na makada wa chama cha babu, threads zao zimejaa uchochezi ambao haunatofauti na huu unaotumika kuhadaa wananchi juu eti ya Uhain wa kutaka kupindua serikali, watoto wa mafisadi a.k.a vifisadi vitoto mnajijua, tunawajua sasa acheni mambo yenu, kujeni na hoja za msingi lasivyo tutawaumbua!
 
Waberoya, Kashaga, NM Hafif, MalariaSuGu(ingawa kabadili ID), Majimshindo, n.k.
 
Yaani hata Swahiba Waberoya kaingia mtegoni jamani? nyie vijana nyie...
 
Halafu mkiishajua kwa waberoya anataka Lowassa awe rais, mnafanya nini kuzuia ili asiwe rais?, au ni zile zile mbinu za kitoto za kusema fulani hivi fulani vile! mnaenda mtaani kuzuia hilo au mnaishia humu humu?

Uliyetaja jina la waberoya umeumiza sana moyo wangu, let me be honest in this, sitakushtaki sehemu yoyotei, lini na wapi inayoonyesha ninataka Lowassa awe rais!
 
Yaani hata Swahiba Waberoya kaingia mtegoni jamani? nyie vijana nyie...

Anawezakuwa amepewa mshiko wa kifisadi au hata wa kihaini ili kuliasi Jeshi la NGUVU YA UMMA au ni wale vibendera fata upepo wiki ijayo unaweza kumsikia akiwa upande wetu ila kwa sitaili hii. Tumeshamstukia na tunamwogopa kama ukoma!!
 
Wakizileta tu we click report abuse mods wakiona inafaa wanaifutaa mara moja, nadhani vifisadi hivi vimeanza kuchoka kuja hapa manake wamevibana dunia nzima!
 
Waberoya, Kashaga, NM Hafif, MalariaSuGu(ingawa kabadili ID), Majimshindo, n.k.
Imenibidi nicheke sana nimeikuta hii thread kwenye complaints kumbe kisa Waberoya kaandikwa ni kifisadi kidogo naona wengi wanajua hivyo ha ha haaaa!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom