Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani (eg za mm 8, 12 na 16). Je kweli kokoto nyeupe za mawe hazifai mpaka zile nyeusi tu za Lugoba na Msolwa? Je naweza kupata wapi tofali imara za concreate au vibrated? Bei zake zikoje?
Natanguliza shukrani zangu wakuu.
Ujenzi wa nyumba ya ghorofa unataka, kisheria, ubuniwe na mtaalam kabla hujapata bulding permit. Considerations for Building Permit applications hazitambui designing zilizookotwa okotwa mitandaoni.
Acha usani.

Wakuu jee mmefikia wapi kwenye ujenzi.
Nina swali jee hizi nondo za 16mm zinapatikana kwa gharama gani kwa tani moja?
Wakuu kwa wale wanaofahamu maduka ya vifaa vya umeme kwa DAR, hasa yanayouza products imported from Europe au Australia. Nahitaji soketi, swichi na taa na vishikio vyake.
Asanteni
Mkuu,
Kwa kigamboni wapi naweza kupata vifaa vya ujenzi kama nondo, cement, kokoto, nk kwa bei rahisi?
Au ninunue tu huku mjini kisha nivushe??
Napo wapi wanauza cheaper?
Mkuu,
Kwa kigamboni wapi naweza kupata vifaa vya ujenzi kama nondo, cement, kokoto, nk kwa bei rahisi?
Au ninunue tu huku mjini kisha nivushe??
Napo wapi wanauza cheaper?
Wakuu Roofing inakwenda vipi? Jee wale mliotumia south africa roof tile bei ikoje?
Roofing inatofautina sana mkuu kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kutokana na roofing material alizotumia. Binafsi nimetumia decra tiles with NewZealand standards but made in Malaysia, kutoka Nabaki Afrika. Zimekwangua mpaka chenji. Imebidi nitulie kukusanya nguvu ya kumalizia finishing sasa.
Mtanganyika ukipiga bati la msouth ni pm price zakeRMshauri, Nabaki Africa nimepachungulia juu juu tuu juzi. Kuna hadisi nasikia watu wanasema kwa nyumba ya 150SQM inaweza kula Million 20-30 jee hii habari ni kweli kaka? Kama kweli sasa itabidi tupige bati la south lol. Maana hapo sijaongea na madirisha, tiles chini na makolokolo mengine.