Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

Mods mnatia aibu sana,,thread za uchochezi mnaziangalia tu.

Mleta mada jifunze kwanza kuandika, na hicho ulichokileta huna uhakikanacho kama nikweli, eti mwanaume ni mwarabu, na huyo dada ni mwafrika.

Una ushahidi gani kama huyo ni mwarabu na huyo ni mwafrika!!! Na kama ni edit pia!! So Acha hiyo tabia ya kuwachafua waarabu kijana, chuki zako na wenzio pelekeni hukooo.

Watu kama hawa wakina utah jazz na wenzie ni rahisi sana kuwaingiza mjini na wakaamini.
 
Kwa kuwa ni video mbona hayo mambo yapo hata Tanzania hapa hapa au labda uwe unalala saa mbili ukiwa popo utaona vitu vingi vya ajabu usiku shida iliyopo mkiona vitu kwenye mitandao huko mnadhani nyumbani hakuna kumbe hata hapa pana mambo ya ajabu kupitiliza...
Bongo hiii mtu analishwa mavi mkuu wewe unatembelea viwanja gani?
 
Ikiwa ni makubaliano yao sioni shida.
Acheni kuhusisha ilo jambo na ubaguzi.

Kwanza hakuna uhakika kama uyo ni mwarabu,,alichokiona mtandaoni amekileta humu bila kithibiyisho,,aache tabia ya kupakazia watu.

Mkuu,,kuna members wanatumia ID zaidi ya moja humu, huyo mleta mada namashaka nae kama sio naemjua huyu dah 😁 tunae humu humu na amechangia kwa kauli kali ya kibaguzi, huyu mshkaji ni mbaguzi na ni mdini kichizi, nisingependa kumuanika hapa, anajijua na ananijua vizuri huwa nampa makavu 😁
 
Hao ndio wawekezaji wakifika hapa watakua wanakatia makimba dada zenu.
 
Haswaa, Hawatakuwa radhi mayahudi na wakristo mpaka mfuate mila zao.
Sasa mbona uislamu wote ni mila za Wayahudi na Wakristo? Zaburi, Torati, injili vyote ni vitabu vya Wayahudi. Hata upuuzi mnaoita ni sharia zote ni sheria za Kiyahudi.
Majina ya Kiyahudi kama Yusufu, Musa, Ibrahimu, Omari, Djibril yote mnaita ya kiislamu wakati ni ya Kiyahudi. Muhammad alifanya mchezo wa kuiga mafundisho ya Kiyahudi na kuongezea upuuzi wake.

Amka kutoka usingizini abdul mkubwa wewe.
 
Taasisi duniani zifanyeje Sasa? We mwenyewe umeshindwa kuweka hata hiyo Video unayokula nnya Dubai?
Dah....hata Mimi nimemshangaa....Kama kaona kuweka Video JF ni kosa.....anajuaje Sasa kama huko duniani Ni kosa kufanya hivyo? Kila sehemu na Sheria zake 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom