Video: Wimbo wa Wazanzibar wakielezea kero za Muungano

GODLOVEME

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,640
493


[h=2]wimbo wa wazanzibari wakielezea kero za muungano na jinsi zilivyochakuchiliwa kwenye katiba mpya[/h]
 
Last edited by a moderator:


wimbo wa wazanzibari wakielezea kero za muungano na jinsi zilivyochakuchiliwa kwenye katiba mpya

Hiyo quote yako umechapia "
THE REVOLUTION IS NOT AN APPLE THAT FALLS WHEN IT IS
RAPE​
. YOU HAVE TO MAKE IT FALL...THE SAME APPLIED TO
CCM"
 
Last edited by a moderator:
Wimbo wa ukombozi huo. Hivi JK akisikia wimbo kama huo anajisikiaje?
 
Hivi nikwanini tunawatesa hawa jamaa ?! Wapewe nchi yao tuuu. Wazanzibari wenye hadhi ya Urais wako wane(4), Huku bongoland wapo kibao wanakula good time, hata ubunge tunawapa buree kabisa. Hivi kwanini tunawaganda ? Waacheni wasepe.
 
Wimbo unajieleza wenyewe,huu muungano Tanganyika imevaa KOTI kama la WASIRA linawabana wa zanzibar halina usawa vishikizo havijafungwa sawasawa hivyo muungano huu wa serikali mbili visikizo viko ovyo sana kama koti la Wasira.Kama WASIRA baadaye alilekebisha koti lake na sisi tulekebishe koti letu kwa muungano wa serikali tatu hapo vishikizo vya koti vitakaa sawa.Hongera Zanzibar hongera Tanganyika ZIII WASIRA NA KOTI LAKO OYEE ESTER BULAYA.
 
Back
Top Bottom