Plot4Sale Video: Nauza kiwanja hiki na msingi wake

dealkubwa

Senior Member
Jul 1, 2020
144
584
Kipo ukonga msimbaz miguu 28 kwa 58 kina mawe ya serikali yamtaa bei milion 6.5 maongez yapo umeme maji upo ni dakika 15 tu ufike gereza la ukonga yaan main road mawasiliano 0763932278 .

 
Huko si ndo bonde la msimbazi? Mafuriko ya kufa mtu ila pamoja na yote umetaja bei kubwa mno ningenunua?
 
Ni upande upi ukiwa unaenda gongolamboto kulia au kushoto..?
 
Eneo liko matombo morogoro

ENEO LA MADIN AINA 4. GREEN TOMARINEY .GREEN GANETY. BLUESAPHERYA NA DHAHABU ZIQO HEKA 4 MOROGOR6


Eneo lipo morogoro matombo

Bei ni milion 50 kwa heka

0712505049
image_search_1706678395467.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom