Video hii ya mtu akipasuliwa mochwari akitolewa dawa za kulevya inayo sambazwa eti wanasema ni ngwar

Sio Ngwea......wapasuaji wanaongea kiswahili tupu.....
 
Nimeiona, kiukweli inatisha, sikuangalia hadi mwisho lol! Huko mochwari kuna mengi yanafanyika

Mkuu ulikosa courage ya kuimaliza clip...kwa video ile kama ndo unataka kupata zako msosi appetite yote inakimbia
 
Ile video ni hapa hapa Bongo..tazama wale Askari pembeni waliovaa kiraia wakiwa na bunduki...lakini pia kuna Askari(?) mmoja anasikika akiuliza "kete zimeisha zote?."ile si ya Ngwea...rough surgery imefanywa hapahapa bongo!ILA JAMANI SIE BINADAMU MARINGO TU..HATUNA THAMANI,UMO TUMBONI NI WACHAFU....TUPENDANE NA KUHESHIMIANA...SISI SOTE NI SAWA
 
Na mimi nimerushiwa kwa njia ya 'whatsApp'.
Inatisha. Jamaa wanapasua tumbo kama wanapasua mzoga wa mbuzi!
 
Back
Top Bottom