much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 7,865
- 10,933
Unauliza makofi polisi?Kwa nini walale kwenye makuti?
Unauliza makofi polisi?Kwa nini walale kwenye makuti?
Pamechoka na nini? Au umekariri?ulienda kasulu, kibondo, Kakonko( Kasanda,Murusagamba) Uvinza( Nguruka, Basanza, Mpeta ) pamechoka sana
Ukarabati unaendelea.Mjerumani alitaka aichukue Kwa kubadilishana meli Mpya.Mjerumani alipotaka kuikarabati nyie mkataka eti awape pesa mnawataalamu wenu waliobobea wataikatabati! Akawashitukia.
Pamechoka na nini? Au umekariri?
Sehemu zote hizo hazikuwa na lami Wala umeme ,Sasa hivi ni 🔥🔥
yemuga kuwa mpole ...hayo maeneo niliyoyataja miundombinu ni mibovu sana....ukiangalia barabara ni za hovyo ,hospital na vituo vya afya hovyo... ila ndo Hali hasi ya maeneo mengi Tz siyo kigoma tu.Pamechoka na nini? Au umekariri?
Sehemu zote hizo hazikuwa na lami Wala umeme ,Sasa hivi ni 🔥🔥