Vidaka sauti vyakutwa kwenye ofisi ya mkuu wa majeshi Ukraine.

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Kuna moto unafuka kwenye top layer ya Ukraine. Taarifa zinasema Zelensky na timu yake wamemuwekea! Ifahamike Zelensky na Zaluzny hawapatani kwa sasa.

Acha tuone huu mtanange utafika wapi.

Soma zaidi:
 
Nipo upande wa Ukraine, lakini kusema kweli hali ni ngumu!
Kuna sababu kwanini mpaka leo Putin hakumfukuza waziri wa ulinzi (kama kweli alichokua anasema progozin ni kweli). Wakati wa vita ukishaanza kuona rais wa nchi, mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi hawapatani jua kuna mpasuko mkubwa!

Huwezi mshinda adui hasa wakati wa vita kama rais na mkuu wa majeshi hawapatani.
 
Hakuna sababu yeyote
Sababu nikwamba waziri waulinzi alikua anajua nini anafanya
Shoigu alikua anaiendesha SMO kama inavyotakiwa
Unadhani angekua analeta ujinga PUT IN angemtoa tuuuu
 
Back
Top Bottom