Elections 2010 Vichwa vya habari vya Habari Leo kichefuchefu

Reyes

Senior Member
Sep 1, 2010
188
2
Gazeti la habari Leo limekuwa kama la Udaku kwa kuweka vichwa vya habari vinavyojaribu kumchafua Dr Slaa lakini nadhani nao wanataka kukataliwa na kuonekana Vipeperushi kama RAI, Mtanzania, na Changamoto

Yaani Habari leo wanadhani wao ni UHURU la Chama, Hakika wanatia Aibu sana
Jana waliandika
Slaa amsifu mchumba, amuonya Makamba
Leo wameandika
Slaa awakutanisha wachumba zake jukwaa moja kama sijakosea maana sina gazeti hapa

ni Aibu kwa chombo cha habari cha serekali kinachotarajiwa kuwa huru na fair kwa wagombea wote
 
Nadhani na hao jamaa wanataka gazeti lao linunuliwe na ccm ili sambazwe bure kwa wananchi lakini nasema tumewashtukia jaja yao. Wana JF tuungane kufumba macho dhidi ya kashfa zote za kizushi dhidi ya rais wetu Dr. Peter Slaa.
 
Ni lini umma utaanza kuchukua strong measure kwa vyombo vya selikari ambavyo tunakatwa kodi zetu kuviendesha halafu wanaandika upuuzi kama huo? nyie mlioko dar kwanini msiwe mfano wa kuigwa na wengine? jaribuni kufanya move ambayo itawashangaza na kuwastua wangi.
 
Wana Chadema kwa kulalaama duh!Kila siku mara ITV,mara TBC mara chanel 10.mnataka kila siki vichwa habari vimsifu slaa tu!haizekai vyombo vya habari vyote vikawa kama JF kumsifia slaa tu
 
Wana Chadema kwa kulalaama duh!Kila siku mara ITV,mara TBC mara chanel 10.mnataka kila siki vichwa habari vimsifu slaa tu!haizekai vyombo vya habari vyote vikawa kama JF kumsifia slaa tu

Kaka mi hawa jamaa wa CHADEMA wananiboa kupita maelezo, maana wao kazi yao ni matusi na kulalamika tu, mtaiweza nchi nyie kwa style yenu hiyo..Au mnahisi IKULU ni kama Guest house kila mtu anaingia tu!!???
 
Usitake kutuziba midomo pale wanapoharibu tusiwaambie!??? ccm mnafitina na mafisadi wanawatumia ninyi mnaipeleka nchi pabaya!!
au wana CCM wote si Raia wa nchi hii!!
 
Usitake kutuziba midomo pale wanapoharibu tusiwaambie!??? ccm mnafitina na mafisadi wanawatumia ninyi mnaipeleka nchi pabaya!!
au wana CCM wote si Raia wa nchi hii!!

Semeni tu maana ndio kazi mnayoiweza vizuri
 
Kama nao wanaandika vichwa vya habari kama ivyo KIU NA IJUMAA wataandika nini?
Shame upon you
 
kwa hata wagombea wa ccm si wana wanawake tena wengine wamezaa nje na kutelekeza mbona hamuwaandiki kila siku slaa
 
Ukishakuwa upande wa ccm, lazima uwe mwenda wazimu. ndicho kinachowakumba habari leo, maana hawatumii akili za taaluma bali ni za mtaani. Sioni tofauti kati ya wapiga majungu mtaani na hao waandishi wa hilo gazeti. Kazi ipo
 
Mchumba wa Slaa uso kwa uso na Rose

Slaa amsifu mchumba, amuonya Makamba

Chadema washindwa kumzuia Kikwete
Kwa headings kama hizi halipishani na magazeti ya Shigongo ya Uwazi na Ijumaa.
 
Wana Chadema kwa kulalaama duh!Kila siku mara ITV,mara TBC mara chanel 10.mnataka kila siki vichwa habari vimsifu slaa tu!haizekai vyombo vya habari vyote vikawa kama JF kumsifia slaa tu

sasa unataka tumsifie kiazi JK au?
 
Ukishakuwa upande wa ccm, lazima uwe mwenda wazimu. ndicho kinachowakumba habari leo, maana hawatumii akili za taaluma bali ni za mtaani. Sioni tofauti kati ya wapiga majungu mtaani na hao waandishi wa hilo gazeti. Kazi ipo

Hivi kwa kuwa Habari Leo ni mali ya serikali, ni gazeti letu, haiewezekani kweli takawabana mbavu kwa kutumia sheria, au kuwaandikia hao Media Authorities wawaonye hawa? Lakini najua humu ndani waandishi wa habari ni wengi, je isingetosha ninyi mkalipeleka suala hili professionally kwa regulatory body yenu au vipi?

Hili nalifananisha na Raisi anapoamua kutumia gharama za serikali kwa shughuli za chama; katika mazingira hayo ni nani anapaswa kumkemea, au je mamlaka gani ina uwezo wa kumwamuru aache!!? Au ni Katiba Yetu inazidi kutuzengua! Slaa chukua nchi ubadili hii katiba.
 
si amewakutanisha kweli.. ama uongo!.. wacha waandike! hizi ndio kampeni kaka kila mbuzi ala kutokana na urefu wa kamba yake!
 
Kaka mi hawa jamaa wa CHADEMA wananiboa kupita maelezo, maana wao kazi yao ni matusi na kulalamika tu, mtaiweza nchi nyie kwa style yenu hiyo..Au mnahisi IKULU ni kama Guest house kila mtu anaingia tu!!???

hahahaaa ungekuwa jukwaani ningekutunza!
 
Wana Chadema kwa kulalaama duh!Kila siku mara ITV,mara TBC mara chanel 10.mnataka kila siki vichwa habari vimsifu slaa tu!haizekai vyombo vya habari vyote vikawa kama JF kumsifia slaa tu

Habari siyo sawa na udaku. Gazeti hili ni serikali itujulishe habari za serkali, maendeleo ya wananchi
 
Back
Top Bottom