vichekesho bongo mmefulia????

Yesu apiganiwi wewe wacha watu wamwigize yesu anajilinda mwenyewe.
So unafurahia Yesu kuigizwa,Yesu amekuwa kichekesho?Hivi mtume muhamad akiigizwa wale jamaa zetu patakalika kweli?Me huwa naangalia vichekesho vyao,wanafurahisha but yule anayemuigiza Yesu anaomba sh. mia aache aisee inaweza mletea matatizo
 
Back
Top Bottom