Vicent Nyerere tamka kwa Lissu kama ulivyofanya kwa Mkapa

MJENGA

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
884
848
Sote tunaikumbuka vema shutuma nzito aliyoitoa Vicent Nyerere kwa Mheshimiwa Mkapa kuhusu kifo cha Baba wa taifa Mwl. Nyerere. Hizo zilikuwa hisia, naweza kusema, ambazo kama mzee Mkapa angembuluza Vicent mahakamani hakika kijana angekuwa kwenye wakati mgumu.

Sasa, ni hivi karibuni sote (pamoja na Vicent Nyerere) tumesikia jinsi Tundu Lissu alivyoitumia demokrasia na uhuru wa maoni vibaya na kumshambulia Nyerere kwa kuonesha kuwa hakuwa chochote zaidi ya ujanjaujanja tu. Nina hakika Vicent ulimsikia huyu jamaa akimtusi baba yako. Sasa ningependa kusikia unakuja na kauli/msimamo gani dhidi ya Lissu?. Maana kwa Mkapa ulijivisha ujasiri kana kwamba ulikuwa na uhakika na kile ulichokuwa unakisema. Kwa upande wa Lissu unasemaje?
 
kama umeamua kumshtaki Lissu kwa Vicent, elezea basi hayo matusi ili Vicent akuelewe, ili asikuone wewe ni mbeya wa kawaida tu.

Safi sana, Naona umeweza kumpa za usoni huyu mzushi. Unajua mtu anayeshabikia CCM hata kama ni Phd Holder mtu huyo anayo matattizo makubwa kuliko unavyodhani. Hawa Jamaa wameamua kuacha akili zao pembeni sasa wameamua kuchukua akili za kuambiwa tu kama alivyowashauri Mwenyekiti wao wa Taifa.
 
Sote tunaikumbuka vema shutuma nzito aliyoitoa Vicent Nyerere kwa Mheshimiwa Mkapa kuhusu kifo cha Baba wa taifa Mwl. Nyerere. Hizo zilikuwa hisia, naweza kusema, ambazo kama mzee Mkapa angembuluza Vicent mahakamani hakika kijana angekuwa kwenye wakati mgumu.

Sasa, ni hivi karibuni sote (pamoja na Vicent Nyerere) tumesikia jinsi Tundu Lissu alivyoitumia demokrasia na uhuru wa maoni vibaya na kumshambulia Nyerere kwa kuonesha kuwa hakuwa chochote zaidi ya ujanjaujanja tu. Nina hakika Vicent ulimsikia huyu jamaa akimtusi baba yako. Sasa ningependa kusikia unakuja na kauli/msimamo gani dhidi ya Lissu?. Maana kwa Mkapa ulijivisha ujasiri kana kwamba ulikuwa na uhakika na kile ulichokuwa unakisema. Kwa upande wa Lissu unasemaje?

Utakuwa mmbeya ww balaa!!
 
Kama una uhakika naye Vicent alimsikia T. Lissu ni kwa nini unamweleza na kumuuliza cha kufanya kama anahitaji msaada wako juu ya alichokisikia? Wakati huo pia ulimuulliza Mkapa? Huu nadhani ni ufyetele wa kawaida tu kama ule wa flelimo Ir!!
 
Mkuu vicenti siyo mtoto wa j nyerere bali ni mtoto wa kiboko hana uchungu naye japo anapenda kutumia jina lake kwa manufaa yake.
 
Safi sana, Naona umeweza kumpa za usoni huyu mzushi. Unajua mtu anayeshabikia CCM hata kama ni Phd Holder mtu huyo anayo matattizo makubwa kuliko unavyodhani. Hawa Jamaa wameamua kuacha akili zao pembeni sasa wameamua kuchukua akili za kuambiwa tu kama alivyowashauri Mwenyekiti wao wa Taifa.

ndio matatizo yenu just Kuwa tu mpinzani mnahisi mnajua kila kitu, kiasi cha kuamini elimu si chochote . hakika mmefilisika!
 
Kuna mamtu yanaanzisha thread yenye vitu hadi unajiuliza hili jamaa lina kichwa chenye ubongo au kabebeshwa kasha la kufugia nywele tu?!
 
Mkuu vicenti siyo mtoto wa j nyerere bali ni mtoto wa kiboko hana uchungu naye japo anapenda kutumia jina lake kwa manufaa yake.

mwa;
Mbona upuuzi wenu ccm unafanana hivi jamani? Mnakosa cha kufanya mpaka mnatafuta maneno kila kona? Matusi kila mahali? Hivi mtu akikutusi kuwa mama yako hakuwa mwaminifu ungejisikaje? Mara sijui ni wa nanihii mara Nyerere hajawahi niambia weye ni mwanaye, sasa huyu kichaa mwingine anasema Nyerere katukanwa matusi kamshambulie Lisu, yaani Maccm ptuuuuu
Hamuwezi kuwaza kumya kimya ni kelele tuuuu ka wanawake wanapooga mtoni
 
Akitamka utafanyaje,wabongo bhana kelele kibao juhudi ziro
 
Hii ni thread nadhani ya ishirini hivi sasa, kila thread nimeuliza hayo matusi aliyotukanwa Mwalimu Nyerere, lakini hakuna aliyeyaweka. Acheni ujinga, msifikiri wengine hatujui kuchambua mambo. Naona sasa umekuwa wimbo.
 
CCM hawana hoja lazima wang'ang'ane na mambo madogomadogo.
 
desperation ya ccm imezidi mipaka..sasa mnafikiri mnaweza chonganisha CDM na chochote...?
 
ndio matatizo yenu just Kuwa tu mpinzani mnahisi mnajua kila kitu, kiasi cha kuamini elimu si chochote . hakika mmefilisika!

Bwana Mtimbo soma uwe na data za kutumwagia ili tuamini unachotwambia. Usije Jukwaani hapa kwa kukaririshwa mambo ya kuandika na mkizidiwa hoja mnazua mara Jeshi litapindua, mara Muungano utavunjika, mara hoo gharama ni kubwa kwa serikali tatu hivyo wananchi hawatapata huduma. Sasa badotumomkwenye serikali mbili za kiini mamcho mbona bado wananchi hawapati huduma mnazodai serikali mbili itaweza kuzitoa? Huu ndo unaousikia usanii uliopitiliza.

Kama mnayo hakika kwamba wananchi wanataka serikali 2 itisheni kura ya maoni kwa sasa ili tuchague ni aina gani ya serikali waitakayo wananchi ili msikie wananchi wanasemaje.

Kama mngekuwa na huruma na hao wananchi ikoa na wilaya zinazoongezeka usiku na mchana pesa za kuendesha zinatoka wapi? Ziara za Mkuu wetu nje ya nchi sasa ni zidi ya 350 mara siku tatu tu akikaa huko halafu gawa mara siku 365 ujue jamaa kakaa hwani kwa miaka mingapi?

Ninyi CCM vipi?
 
Mkapa alihusishwa na kifo ati kwa kushinikiza mahala sijui pa tiba sijui nn ila ni kuwa Vicent alimhusisha Mkapa na kifo cha MwlNyerere.
Lissu kasema alichokisema Vicent kuwa Mwl alifanya makosa ila alikuwa anajutia na kukiri.
Sijui utamgombanisha vipi Lissu na Vicent kwa mtindo huu!!
 
Back
Top Bottom