Vibali vya pikipiki vimekuwaje?

subz3r0

Member
Dec 7, 2011
13
0
Tusaidiane kupeana taarifa za vibali vya pikipiki. Mtu yoyote anayo au kasikia au anajua kuhusu vibali vya pikipiki .. zitatoka lini au pikipiki zetu tusitumie zikae nyumbani ziendelee kuoza.
 
Back
Top Bottom