Vibaka wa-Swap License Plate

JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
776
118
Siyo vibaya ukaanza angalia License plate ya gari yako kabla ya kuondoka maskani. 2make story long short, vibaka walibadirisha plate number ya gari yangu na kubandika yao ya gari waliloiba, bila kujua asubuhi nimeondoka kasi kuelekea job police kaninimamisha kurun ile plate kagundua kuwa ni ya wizi, kuniuliza nikamwambia hili gari si la wizi, jamaa kang'ang'ania. Baadaye kacheck VIN kagundua gari si la wizi ila plate number ndo zimebadirishwa(SWAP). kanisomba mpaka kituoni bond $400.00, gari walili-tow kwenda kulichukua $180.00, kupata plate mpya $63.00 na bado next month natakiwa kwenda kuonana na judge. HIVYO BASI SIYO VIBAYA TUKAJENGA TABIA YA KUKAGUA MAGARI KABLA HATUJAONDOKA-usije kutwa na yaliyonipata!.
 
Pole sana JK kwa yale yaliyokupata..ila m not so sure kama for ur case this is the right jukwaa..its all about 'sports' unless it was a story about 'super star' wa mchezo wowote ule!
 
Pole sana JK kwa yale yaliyokupata..ila m not so sure kama for ur case this is the right jukwaa..its all about 'sports' unless it was a story about 'super star' wa mchezo wowote ule!

Nakubariana nawe 100%, nilipost kimakosa hapa.
 
Back
Top Bottom