Sisi ni mizigo???..... Shika adabu yako!Wanaume wa kiafrika mizigo!
Mara ya mwisho kumbeba babako ilikuwa lini?Wanaume wa kiafrika mizigo!
Mimi bado nasubiri mrejesho wa mambo yetu yale hata kama itapita miaka hamsini, nitasubiri tu!mizigoooo tena ya....
wanaume wangapi wako kama Salim. kwanza Salim angebadilisha na nationality kabisa, anawapa sifa za bure AMBAZO HAWANA wanaume wa kiafrika
Mswahili akipata mat*k* hulia mbwataa...hivi unawadharau wanaume wa kiafrika wakati wewe umetokana na tone la maji la mwanaume wa kiafrika,tena si ajabu na anaekuvua nguo ni mweusi kama mkaa acha dharau wewe kama ushawahi kuwa na bwana mzigo usitufananishe nae,wengine kuna wanawake wanatupenda na kutuheshimu zaidi ya hyo wifi yako kuwa na hikmah.mizigoooo tena ya....
wanaume wangapi wako kama Salim. kwanza Salim angebadilisha na nationality kabisa, anawapa sifa za bure AMBAZO HAWANA wanaume wa kiafrika
Mswahili akipata mat*k* hulia mbwataa...hivi unawadharau wanaume wa kiafrika wakati wewe umetokana na tone la maji la mwanaume wa kiafrika,tena si ajabu na anaekuvua nguo ni mweusi kama mkaa acha dharau wewe kama ushawahi kuwa na bwana mzigo usitufananishe nae,wengine kuna wanawake wanatupenda na kutuheshimu zaidi ya hyo wifi yako kuwa na hikmah.
I don't know what you're talking about.housegirl ungewasikia wanaume wa kizungu (haswa hao wanaokuja kufanyakazi Africa) wanavyowaongelea wanawake kama wewe aibu.
Ushasema "British" woman.. I didn't think of race in my early comment, so my answer is YES, i would!would you say the same if it was a black British woman?
Safii sanaakwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!
Kama hiyo haitoshi ona hiiView attachment 337638 View attachment 337639
how hot is this man right now!
Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.
Baby mwenyewe ndo huyuView attachment 337640
Wifi katulia jamani. Bonge la smile. halafu mimi pia member wa kuchanganya damu, you know?
View attachment 337641
Mnakaona kaBaby kadogo hako hapo? Ndo kanatolewa kwa Mara ya kwanza kuonja kipupwe cha LondonView attachment 337642
Kanaitwa baby Loan
AaawwwwView attachment 337643