Fahamu namna bora ya kutengeneza Kachori

Chatne nimeweka aina 2 shosti....ya nazi kule kwenye badia za dengu na ya embe mbichi kwenye badia za kunde....

Naleta posa kwenu wiki ijayo, usinikatae. Miye ndo 'nimeshakufa' hivyoo.

farkhina mahabuba wanipa hamu ya huba
Unitoe hugahuga hata kama usuhuba

Mwali wajua mapishi toka bara mpaka pwani
Usinitie kapuni nisije pata uchizi.

Wasalaam

Platozoom chapa ng'ombe.

Cc: Fixed Point
 
Hahahahahahaha poleee....nimeshawekwa ndani nampikia mwenzio lol:p:p:p:p:p:p

Basi miye hata spare tire naweza kuwa.

Mtoto ng'aring'ari angalia utauponda moyo wangu.
Isikize pumzi yangu nisije nikazimia mwenzangu

Mpaka muda huu usingizi sijapata nautafuta kwa manati
Angalia nitajuta kuijua JF utaniachia tashtiti!

Alamsiki

Wako Platozoom aliye kwenye zirizala la mahaba.

farkhina yaani huyu platozoom msanii kweli alimtosa mwanangu charminglady angalia asikusumbue endelea kumpikia huyo hapo ndani yeye ale kwa maandishi hapa jamiiforums

Nyie ndo mahasidi wa mapenzi ya Watu, ungejua alichonifanyia mwanao...sema nilifanya hisani tu sasa hivi familia nzima ingekuwa Kchini ya udongo!!! :frusty: :frusty:
 
Asante twin mbona ningepitwa ngoja nijaribu wiki hii kutengeneza hii kitu naona kama rahisi vile kulingana na maelezo.
twin kwani na wewe unajua kupika visheti na jelebi?
naona hapo rafiki yako BAK anataka kupika atualike.
wewe pika hizo kachori kwa mwongozo wa farkhina.
Mi nasubiri recipe ya vipopo, anasema kuna vya custard.... mwaka huu mpaka vitambi vitoke
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha ngoja niandae na mfuko wa kubebea vitakavyobaki naomba BAK aandae vingi maana sijawahi kuvila hata sijui vinafananaje.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Kumbe BAK mpishi mzuri eeh....basi na atualike tukaonje mapishi....lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
huo unga wa mchele wauchujua na nini?

Unaroweka mchele at least for 1 night.
Then unablend mchele wako mix na na nazi na sukari na iliki au arki.

Kwa ufupi unamix km ukipika chila sema apo mwisho ndo unaweka kwenye vikombe vya kahawa na unachemsha kwenye sufuria la maji kama pudding
 
Ablessed, Pacha wako anapenda kunitania mie mapishi yangu ni mchemsho tu huo muda wa kuanza kujifunza kutengeneza visheti na jelebi wala sina ila kama unataka michemsho na ugali na pilipili kwa wingi :):) karibu sana. Halafu wewe kama Pacha wako wote ni wapenzi wa ugali kama mimi.

Hahahahaha ngoja niandae na mfuko wa kubebea vitakavyobaki naomba BAK aandae vingi maana sijawahi kuvila hata sijui vinafananaje.
 
Last edited by a moderator:
Ablessed, Pacha wako anapenda kunitania mie mapishi yangu ni mchemsho tu huo muda wa kuanza kujifunza kutengeneza visheti na jelebi wala sina ila kama unataka michemsho na ugali na pilipili kwa wingi :):) karibu sana. Halafu wewe kama Pacha wako wote ni wapenzi wa ugali kama mimi.
Tena ugali na samaki au mlenda
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom