Very urgent housegirl

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana wa Mungu,
Bwana Yesu Asifiwe, Jina lake lihidimiwe.

AGENT ANATAKIWA HARAKA KUFANYA KAZI HII
NATAFUTA MSICHANA WA KAZI KUTOKA MKOA WOWOTE, ASIWE AMEFANYA KAZI SEHEMU ZA MUJINI, UMRI USISIDI MIAKA 21, AWE MCHA MUNGU DINI YOYOTE TUNAHESHIMU, ASIWE NA MAMBO YA KISHIRIKINA,KUSENGENYA,KUNUNG'UNIKA,UHUNI,MDOKOZI,UZINZI,MAGONJWA SUGU,.

AGENT UTALIPWA CHAKO FASTER UTAMBAE
MSHAHARA KWA BINTI HUYO MNONO.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JF.
MUNGU NIBARIKI NIPATE KIJAKAZI
ZAB:23
 
Ni PM kondoo wa bwana, ubarikiwe kwa upendo wako. jina la bwana libarikiwe Usisahau na Namba zako za simu hapa tupo siriasi wakuu

Bwana ndiwe mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu,,,,, naomba niifanye mie hiyo kazi natafuta ajira
 
Mi ningependa ili mradi kusiwe na kudeki chumbani kwa baba ..pia msinipangie mavazi maana napenda sana suruali!
 
Wakuu kwangu mimi pouwa kabisa kama munaye au anayejua sehemu wanapopatikana kwa Agent. Hata mimi nimesema nahitaji Agent watu wanaleta utani kwa upande wangu Hata osha nguo kuna washing mashine mbili. Rice Cooker,Presha Cook natumia umeme na nina Jenerator kuubwa maji nimechimba kisima nina gari 7 hammer moja sasa huoni hapo na pia nitamkatia bima ya Greed card asanteni wakuu
 
Mpaka bima???Dah niPM mshahara tunaweza tukafikia makubaliano!!
 
Mbona suala la kama unae mke au huna hujalizungumzia?
We utakua unatafuta tu Mke,
 
Aha!!!!! Wakuu mi ni pastor wa ukweli nataka nimuache kwangu nina mke na watoto kibao ila watoto mapacha watatu ndo nataka awe anawaangalia hao tu

Mbona suala la kama unae mke au huna hujalizungumzia?
We utakua unatafuta tu Mke,
 
Back
Top Bottom