Vegeterians ONLY!

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
khat.jpg
Veve3.jpg
veve2.jpeg
 
Attachments

  • veve1.jpeg
    veve1.jpeg
    13.8 KB · Views: 39
kitu iko ya kutosha maeneo kibao ya baridi, makete, lushoto aaaah nenda ngorongoro creater njia ya kutoka=ea.....only tembo nakula na lewa sana na pia nafunja mti mingi ati!!!!!

Mkuu, hii mboga inapatikana makete! sehem gani baba?
 
Mrema alituona tunafaidi hii kitu akai ban.

Uingereza waipata freeesssh ya shamba, inachumwa alfajiri jioni iko UK.
 
Naandasi nipe koka bariidi ,toboa kwenye kizibo,na big G ,sir Alex Ferguson kasingiziwa,na huku mchombezo wa taarabu ya Juma Ballo au Matano unapoandasi huwa umekaa kwenye jamvi ,wacha we
 
Wakuu hii mboga nilishawahi kulaga ni MIRUNGI au kwajina lingine wanaiiita Gati! Nilishawahi kulaga lakini ulevi wake ni balaa au unaweza kuita Handasi kwa wale wataalamu wanavyoita. Siku nilikula huo ulevi wake bwana hupati usingizi unatafuna tu wakuu, basi nilitafuna wenyewe wanasema unasaga mpaka kunakucha ilivyofika milango ya saa tatu asubuhi jua linawaka nikaenda chooni na tochi yaani wewe unahisi bado ni usiku, halafu kwenye kujisaidia haja kubwa nikajisaidia haja kubwa kama mbuzi! Jamani ulevi mwingine nyie wacheni tu.
 
Ndallo,pole sana japo unachekesha!! Ina maana baada ya hiyo hali uliendelea kutumia hiyo ki2 au uliiacha???
 
Hii kitu balaa kilo moja tu mnakula wanne(2 men,2 ladies) mnaanza jioni mnamaliza 3-4 usiku,mnaenda klabu konyagi kwa sana na hamlewi, mkiingia 6*6 totos wanaipatapata fresh no kulala.
 
Hilo ndy GOMBA; Hiyo picha ya katikati kitu kimetoka shamba bado kiko nnya...sisi mbwudzi tunachanja tu!!! Wacheni maskhara jameni hii kitu ina utamu wake!
 
Mrema alituona tunafaidi hii kitu akai ban.

Uingereza waipata freeesssh ya shamba, inachumwa alfajiri jioni iko UK.

Mrema sjui alikuwa na hesabu gani!!...baada ya hpo gomba likapanda bei vibaya sana! Wakati huo yeye anachanja kama kawa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom