Vatican yathibitisha marufuku ya Wakatoliki kuwa Freemasons

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons.

Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kutangamana au hayapatani.

Barua hiyo iliyotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilinukuu tamko lililotolewa miaka arobaini iliyopita, likisema kwamba wakatoliki waliojiunga na chama cha freemason hawaruhusiwi kushiriki katika ekaristi takatifu.

Uamuzi huo wa hivi karibuni unaonekana kumjibu Askofu kutoka Ufilipino ambaye alionyesha wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa idadi ya Wakatoliki katika dayosisi yake wanaojiunga na vyama vya freemason.
 
Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons.

Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kutangamana au hayapatani .

BIBLIA LETE RAHAAAAAA....................

UNABII WA MAMLAKA ZA KIDUNIA.

Warumi 2: 28

Isaya 13:19

Zakaria 2:8

Ufunuo 16:13-15

Ufunuo 19:11-21

Daniel 7:17, 23

Daniel 2:2, 41-42

Yeremia 4:5

Ufunuo 17:10
 
Sema huyu mzee inabidi apumzike.

Tunaona wazee umri wake mitaani huku wanakuwa kama watoto wadogo,nina uhakika anapitia kipindi kama hicho.

Naona swala la ushoga linampa kigugumizi,juzi kampelekea moto askofu mmoja wa ujerumani baada ya kumpa makavu kwamba babu unazingua.
 
Suala la ushoga asilifumbie pia macho aweke msimamo wa wazi
Ukiondoa chuki na ushindani wa kidini ukamruhusu Roho MTAKATIFU atende kazi ndani Yako Mungu atakupa majibu kuhusu statement zote zitolewazo na viongozi wa dini,utajua ipi ni batili na ipi ni sahihi,,, sitegemei kama unaweza tegemea UJUMBE mzuri kwa mtu unayemchukia ,hata ukiwa mzuri lazima utajitahidi kutafuta kasoro ,Mungu hatendi kazi tunapokuwa na chuki,hasira,wivu na fitina
 
Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons.

Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na uanachama wa Freemason hayawezi kutangamana au hayapatani .

Barua hiyo iliyotolewa na ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilinukuu tamko lililotolewa miaka arobaini iliyopita, likisema kwamba wakatoliki waliojiunga na chama cha freemason hawaruhusiwi kushiriki katika ekaristi takatifu.

Uamuzi huo wa hivi karibuni unaonekana kumjibu Askofu kutoka Ufilipino ambaye alionyesha wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa idadi ya Wakatoliki katika dayosisi yake wanaojiunga na vyama vya freemason.
Yeye Mwenyewe Papa ni Free Mason wa siri leo anawakataza Waumini wasiwe Ma-Free Mason?
 
Back
Top Bottom