Vacant Postion

Tinno

Member
Nov 1, 2010
10
0
A deluxe resort located in South West Zanzibar has a vacant postion of an Executive Secretary to the General Manager.If you are qualified and experienced Secretary or Personal Assistant please confidently send your CV to tinnotz@gmail.com.
 
Jamani hata kama watu wako desparate na kazi..ni vema mkawastahi kidogo. Wewe unaweka email yako tuu. Hujaweka website yako watu wajue profile ya kampuni yako..kama huna basi elezea kifupi ofisi yako inashughulika na nini..weka namba za simu na maelekezo mengineyo. Inasaidia kupata applicants serious. To be honest mimi siwezi tuma CV yangu kwenye email kama ulivyofanya..maana inaonyesha wewe ni mwajiri lakini hauko serious....hata kama sina kazi..how do I know kwamba si utapeli..maana wengine siku hizi mnachakachua hata CV za watu...bongo...zaidi ya uijuavyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom