V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

1. JE, 'Immuno Deficiency' na 'Immuno Supression' ni kitu kimoja au ni tofauti ??

2. JE, kwa lugha ya kiswahili, Immuno Deficiency / Immuno Supression ndo Upungufu wa Kinga Mwilini yaani UKIMWI ??

3. Mbali na HIV, je ni factors zipi zingine zinazosababisha Immuno Deficiency or Immuno Supression ??

4. 'Immuno Deficiency' inajitokeza ndani ya neno AIDS (Acquired Immuno Deficiency Syndrome). JE, kuna linkage yeyote kati ya Immuno Deficiency na AIDS ??


Natanguliza shukrani kwako Aragon.

DARASA HURU!

Mkuu Kaveli ntajaribu kukujibu shortly, naomba nijibu kwa ujumla kama hautalidhika ntarudi point moja moja.
Unajua kinga ya mwili ni somo kubwa sana, ila kwa ufupi niilezee kinga ya mwili inayokuwa provided na seli Hai nyeupe za damu ((white Blood Cells), hizi seli nazo ni collective term zipo za aina tofauti kuna lymphocyte, neutrophils, eosinophils n.k, na hata hizo lymphocyte nazo zipo kwenye magroup madogo madogo mengi tu. Hizi seli Hai nyeupe za damu zinatukinga na magonjwa mbali mbali.

Sasa unaposema immunodeficiency ni term Pana sana, zipo conditions Zaidi ya 100 za immunodeficiency, zimegawanywa kwenye makundi makubwa mawili ambayo ni primary and secondary disorders, primary ni unazaliwa nazo na cause ya most of them ni genetic defect au mutation katika seli hizo nyeupe au products ya seli hizo(antibodies au kuna kitu kinaitwa complement).
Hizo conditions ni very rare (nafikiri kiswahili chake ni nadra sana kutokea), Secondary disorder zinatokana na external source(kitu ambacho hujazaliwa nacho) mfano AIDS, cancer, baadhi ya sumu etc.

Unapozungumzia AIDS ni aina ya immunodeficiency lakini hii Unai-acquire na Unai-acquire after being infected with a virus ambaye ndio tunamwita HIV.

kwenye hizo immunodeficiency nyingine ambazo ni nadra sana kutokea, mtu anapata mara kwa mara maambukizi au infection of certain kind kutegemea na kilichokosekana, kikikosekana kitu ambacho kinakusaidia kukukinga na bacteria wa aina flani basi utapata hayo maambukizi mara kwa mara.

Nadhani wachangiaji wengine waliitumia hiyo term ya ukimwi kwa conditions zote hizo ili waweze kueleweka Zaidi.
Nb: kwenye hiyo AIDS pia S ni syndrome na maana ya syndrome ni kwamba ni mjumuisho wa dalili ambazo zinatokana na ugonjwa flani au condition flani (group of symptoms and signs which correlate with a certain disease)

Doctor Aragon, thanks sana kwa majibu yako yenye kuelimisha aina za Immuno Deficiency. Mkuu nina hoja ya nyongeza.

Hapo kwenye RED na BLUE:

Mfano angalia scenario hii... Mtu X ana Immuno Deficiency ilosababishwa na HIV. Mtu Y ana Immuno Deficiency ilosababishwa na sababu zingine.

JE, watu hawa wataugua the same AIDS? Ama watatofautiana kimagonjwa?

Namaanisha hivi: Magonjwa yatokanayo na ''Immuno Deficiency caused by HIV'' ni TOFAUTI na magonjwa yatokanayo na ''Immuno Deficiency caused by other factors'' ???
 
Last edited by a moderator:
- immunodeficiency ni upungufu/ukosefu wa kinga ya mwili (bila kujali nini kimesababisha)

- immunosuppression ni hali ya kupunguza/kuondoa/kuharibu kinga ya mwili ambayo aidha inaweza kuwa kwa kukusudia (katika hali fulani fulani madaktari wanaweza kutoa dawa za kupunguza aina fulani ya kinga ili mwili uweze kukubali upandikizaji wa kiungo cha mwili - mfano figo, ini n.k.) au bila kukusudia(kutokanayo na maradhi, ugonjwa, vijidudu ama vimelea mwilini)


Mkuu color.bash , I guess wewe ni Daktari by profession. Nafurahi sana tunapopata michango ya madaktari katika mada hii. Shukrani kwa maelezo yako hayo yenye elimu ndani yake. Hapo kwenye BLUE umenielimisha kitu ambacho nilikuwa sikijuwi kabsa. Thanks a lot mkuu.

Hapo kwenye RED, nina hoja naomba unijibu:

Kwa vile Immuno Deficiency ni Upungufu/Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi) bila kujali nini kimesababisha... kama ulivyoeleza;

Kwa vile AIDS ni mkusanyiko wa magonjwa mtu anaanza kuugua baada ya kupata Immuno Defficiency... kwa tafsiri yangu binafsi;

JE, kuna utofauti wa magonjwa hayo kati ya mtu mwenye Immuno Deficiency caused by HIV na mtu mwenye Immuno Deficiency caused by other factors?
 


Mkuu color.bash , I guess wewe ni Daktari by profession. Nafurahi sana tunapopata michango ya madaktari katika mada hii. Shukrani kwa maelezo yako hayo yenye elimu ndani yake. Hapo kwenye BLUE umenielimisha kitu ambacho nilikuwa sikijuwi kabsa. Thanks a lot mkuu.

Hapo kwenye RED, nina hoja naomba unijibu:

Kwa vile Immuno Deficiency ni Upungufu/Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi) bila kujali nini kimesababisha... kama ulivyoeleza;

Kwa vile AIDS ni mkusanyiko wa magonjwa mtu anaanza kuugua baada ya kupata Immuno Defficiency... kwa tafsiri yangu binafsi;

JE, kuna utofauti wa magonjwa hayo kati ya mtu mwenye Immuno Deficiency caused by HIV na mtu mwenye Immuno Deficiency caused by other factors?



Asante Mkuu Kaveli

Kwanza naomba nirekebishe kuwa mimi si daktari. Ninayoyaeleza yametokana na ufahamu wangu katika kuvisoma na kuvipitia vitu katika majarida na source mbalimbali juu ya masuala ya afya. Huku kwenye HIV/AIDS nilijikuta natafuta elimu na taarifa pana zaidi baada ya rafiki wangu wa karibu kugundua kuwa amepata maambukizi. Hivyo katika kumsaidia nilizama katika kusoma vyanzo mbalimbali (ikiwemu uzi huu) kujua mengi ili niweze kumpa msaada wa ushauri na taarifa baada ya yeye kukosa tumaini. Nikiri tu, udadisi wangu umenisaidia hata mimi kuondoa sehemu ya giza kuu juu ya HIV/AIDS

Kufuatana na nilichokisoma kuhusu immunodeficiency, kwa uwelewa wangu ni kwamba immunodeficiency inayosababishwa na HIV huwa na tabia ya kupelekea magonjwa nyemelizi tofauti ikilinganishwa na immunodeficiency itokanayo na sababu nyingine.

Ifahamike kwamba immunodeficiency hutofautiana kulingana na aina za seli za kinga ya mwili zilizoharibiwa mwilini. Hivyo basi kwa kuwa maradhi nayo hutofautiana na jinsi yanavyoingia mwilini na jinsi mwili unavyotengeneza kinga, ndivyo navyo aina za maradhi au athari zinavyotofautiana baada ya kinga ya mwili kupungua/kuisha

Nitumie lugha ya picha...

....JWTZ lina vikosi mbali mbali...anga, ardhini, majini nk. Hivyo basi kufuatana na udhaifu wa vikosi hivi au tuseme nguvu na mbinu za adui; aina ya mashambulizi au tuseme mbinu za adui kulishambulia taifa pengine hata kushindwa kwa vita kutakuwa na tofauti kubwa. Miili yetu nayo haitofautiani katika kujietengenezea na kujiwekea kinga. Hata maradhi nayo yanatumia mbinu tofauti tofauti katika kuathiri miili yetu.

I hope mfano huo unakidhi maelezo mafupi. Pamoja na yote i stand to be corrected!
 
naomba kuuliza swali. me sio mtaalamu. kama ukimwi ni feki inakuaje mtu anamuambukiza mke alikadhalika mtoto. na wote wanakufa.
 
Sitaisahau h.i.v/aids ambayo ilinifanya nizae mtoto mmoja kwa kubahatisha. Kisa naogopa ku-test na partner wangu. Mie nalaani sana janga hili. Aidha sina pa kushtaki.
 
Ni kweli jamaa hoja zake zina mashiko asa ukifikiria nje ya box wazungu kwa ngono ni balaa lakini ukimwi kwao ni adimu

mimi bado naendelea kufatilia sana kwa makini uu uzi mana naona kuna vitu ambavyo sikua navijua kuhusu HIV ila nmeanza kuvijua nyuma ya pazia
 
Nimefuatilia huu uzi toka post ya kwanza hadi ya mwisho, kuna situation inayonihusu mimi binafsi sijaiona kama imeongelewa.

Mimi nina miaka miwili sasa nafanya ngono bila kinga na mwanamke anayetumia ARV's, kila nikipima naambiwa HIV negative, hii inakuwaje?
Juzi jumamosi nimepima, baada ya majibu ya HIV negative nikamueleza aliyenipima hii situation, akashtuka na kuniambia kwa nini nahatarisha maisha yangu, nikamwambia siamini kama HIV inaambukizwa kwa njia ya ngono, akaniambia inawezekana tu michubuko huwa haitokei, hii inanishangaza kwani huwa natumia hadi ile njia nyingine ambayo inasemekana msuguano ni mkubwa kwa kuwa hakuna virainisho(samahani kwa kusema hilo ni katika kuweka rekodi sawa).

Ningeomba hasa Aragon, kupe, mkuyati og pakamwan wanisaidie ufafanuzi.

Kama kuna mtu ana wasiwasi na maelezo yangu, naweza kumpeleka kwa huyo mpenzi wangu akajionea mwenyewe jinsi anavyokunywa ARV's na pia kumthibitishia kuwa tuna miaka miwili tunafanya mapenzi, bila kinga!

kaka binafsi naona ni mmoja kati ya watu wanaoendele kutoa uthibitisho kwa facts juu ya hii dhana najua uku ni watu wanaojielewa usingeweza mutunga tu kitu ili kupotosha watu
 
Last edited by a moderator:
Sitaisahau h.i.v/aids ambayo ilinifanya nizae mtoto mmoja kwa kubahatisha. Kisa naogopa ku-test na partner wangu. Mie nalaani sana janga hili. Aidha sina pa kushtaki.

mkuu Ighombe, thanks kwa kisa mkasa chako ambacho kinaonekana ni halisi. Ebu share nasi zaidi mkasa huo:

(a) Nini hasa kiliwafanya muogope ku-test HIV?
(b) ''Mlizaa mtoto mmoja kwa kubahatisha''. Hapa unamaanisha nini?
(c) ''Unalaani janga hili la HIV/AIDS, na huna pa kushtaki''. Kwa nini mkuu?

Karibu sana mkuu. Pengine kupitia mkasa wako, wasomaji wanaweza kujifunza jambo.
 
kaka binafsi naona ni mmoja kati ya watu wanaoendele kutoa uthibitisho kwa facts juu ya hii dhana najua uku ni watu wanaojielewa usingeweza mutunga tu kitu ili kupotosha watu
Hili suala la HIV AIDS lina utata mwingi, mmojawapo ni huo wa kwangu..

Kwa sababu yule dada wanamfahamu kuwa anatumia ARVs, na mimi mtaani wananiita marehemu mtarajiwa, ila majibu yangu ni Negative, naendelea kusubiri huenda window period yangu ni miaka kadhaa.
 
Hili suala la HIV AIDS lina utata mwingi, mmojawapo ni huo wa kwangu..

Kwa sababu yule dada wanamfahamu kuwa anatumia ARVs, na mimi mtaani wananiita marehemu mtarajiwa, ila majibu yangu ni Negative, naendelea kusubiri huenda window period yangu ni miaka kadhaa.

hahahahaha sizani ungekua umeshapata kk
 
Nimeona hii kitu ni kheri ni share na wengine.

Cure for HIV reportedly 3 years away | Fox News


dada Sky Eclat , thanks a bunch for sharing the link to the Article. I have checked it top to bottom.

It has been now a tendency of these scientific medical studies on HIV to always pop-up with a very 'promising' insights towards the so called 'CURE for HIV'. But in reality, it looks that there is still a long way to go to realize the so called 'cure for HIV, and highly probable this will be a 'life-time' cure hunt due to the hidden agenda behind the scene since day one of this deadly nightmare. People are making good life out of this thing, if you know what I mean!

Otherwise, let the world keep day-dreaming of having a 'long shot' to kick the so called 'HIV' from the medics. It is said that HOPE sustains life. As such, let this sick planet carry-on being in 'hope-mode' .

On a serious note, always be risk-conscious and remember to 'play' safely coz STIs are real.

-Kaveli-
 
Jamani kulikoni mbona uzi wetu umeganda, ikiwa unatoa somo zuri na istoshe tulikuwa hatujafkia conclusion.


mkuu uzi unaendelea kama kawa.

Katika hili jambo, naona kila mtu anafikia conclusion yake binafsi. Ukitaka a compromised 'consensus' on HIV and/or AIDS, utasubiri sana mkuu.

Soma, elewa, elimika.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom