Uzushi wa valentine day

Seto

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
953
53
siku nyingi hiki kitu nakiona sikupata pakusemea wacha leo nikiseme.....

watu wanadai eti valentine day si lazima umpe zawadi mpenzi wako eti hata dada, kaka, mama au baba?...... Mbona uongo mtakatifu huu...

chanzo cha siku hii NI ndoa ALIZOKUWA ANAFUNGISHA HUYO MTAKATIFU VALENTINE wakati Mkuu wa ROMA alikataza,,, na ndoa maana yake ni mume na mke, watu wamefanya uchakachuaji mpaka dada, kaka, na mama sijui wanaingizwa....


poleni.
 
mmmmmhhhh sasa tumuamini nani?manake kila siku inaletwa historia ya VALENTINE hapa.....anyway,nafikiri kila mtu achukulie kivyake tu......
 
nafikiri zawadi angepewa huyo mtakatifu valentino, kwa sababu yeye ndie arihatalisha maisha kwa kwenda kinyume watawala wa Roma, hii ya kuifanya kibiashara/kiuzinzi siku hii ni mumkosea heshima (siku hii imetekwa na walimwengu)
 
Back
Top Bottom