Uzuri wa CCM utadumu kwa kukiponda CDM?

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
CCM ndo chama kilichoshika dola ingawa kuna sintofahamu ya ukwel wa ushindi huo.

Imekuwa ni jadi kwa wana CCM Kutoa matamko na kukiponda CDM ili kiweze kuuza sera zake,je?Chama tawala ni cdm?

Kunahaja gani mtu kama magufuli kuzungumzia katiba ya watanzia wote na kuingiza cdm?

Nionavyo mimi ccm ndo imefikia mwisho,mana kama hata wakina magufuli wamekuwa wanafanya siasa maliwato unategemea nini?
 
Back
Top Bottom