Uzito wa hekima ya mashariki ya mbali

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,414
Katika dini ambazo nipo kuzifuatilia na kuzichunguza ni dini ya Kibudha na Kihindu pamoja na falsafa za Confusian.....

Na jambo la kunishangaza ni hizi hekima za mashariki kujipatia kiti ndani ya Ukristo.

Budha imetoka katika dini ya Kihindu, ina waumini wapatao milioni 520 huku dini ya Kihindu ina waumini wapatao bilioni 1.1. Ni wengi kuliko Waprotestant wote ambao wanaunda jumla ya waumini milioni 800. Ukisikia hekima za mashariki ya mbali basi jua zimefungwa na dini hizi pamoja na falsafa za Confusian.

Hekima ya mashariki hasa ya Confusian ilipendwa na Wajesuits. Wajesuits walichotaka mengi kutoka huko, walienda huko na kuvitafasiri vitabu vya wenyeji pamoja na kuandika mengi juu ya imani na falsafa za mashariki na kuzileta katika ulimwengu wa magharibi.

Voiltare mwanaharakati wa kisekula na demokrasi wa huko Ufaransa alipenda sana kuvisoma vitabu vya Confusian ambavyo vilitafasiriwa na Wajesuits. Na sehemu ya maarifa ya Confusian chini ya Voltare yaliunda msingi wa mapinduzi ya Ufaransa mnamo 1789-1797.

Wajesuits walifanikiwa kuunga hekima ya mashariki na ya ile ya magharibi. Hata hoja ya Monks and Nuns ni kutoka chanzo cha mashariki. Naam umoja wa mataifa (UN) pia sehemu yake kubwa imeundwa na hekima hizi kupitia jesuit Pierre Teilhard de Chardin. Huyu ni sehemu kuu ya ujenzi wa UN. Na moja ya zao la ajenda ya mabadiliko ya tabia nchi (climate change agenda) ni moja ya zao ya hekima hizo under jesuits umbrella.

UN ni dini iliyojificha katika siasa. Na lengo lao kuu ni kuzileta dini zote pamoja, umoja katika tofauti (unity in diversity). Umoja huu asili yake ni mtaguso mkuu wa pili wa Vatican. Huko mbele haitaruhusiwa tena kumhubiria mtu mwenye dini. Kwamba Mungu ameshatukubali sote katika tofauti, na Budha, Krishna nk ni wajumbe wake.

Ajenda hii ndio imezaa theolojia ya "Dispensationalism" ambayo inamtenga Myahudi na Injili. Hivyo Myahudi haruhusiwi kuhubiriwa, kwamba ataokoka na Uyahudi wake na si katika kumuamini Kristo.

Hivyo inshu zote za “Sustainable Development Goals” iliyoamuliwa mnamo 2015 ambayo, pamoja na “Paris Climate Agreement” waliunda “2030 Agenda” - orodha ya malengo ya maendeleo endelevu yatakayofikiwa ifikapo 2030. Ni kazi ya Wajesuits ambayo kwa sehemu imejengwa kutoka katika hekima ya mashariki inayotoa ibada kwa mazingira.

Biblia inaonya ibada kwa mazingira bali kwa Mungu. Warumi 1:19-25. Katika waraka wa jesuit Papa Francis wa mazingira unaoitwa "Laudato Si", ndani yake dunia inaitwa mama yetu, jua, mwezi na nyota zinaitwa dada na kaka zetu. Hii ni elimu ya mashariki ambayo inaamini tumetokana na asili na asili ni sisi.

Dini ya mazingira ndio itakuja kuwa dini kuu ya ulimwengu. Wote tutatakiwa kuyapa mazingira heshima na kipaumbele chini ya sheria kali za UN na serikali husika. Siku kuu ya mazingira duniani ambayo imekubalika na wanaharakati wote wa mazingira chini ya UN ni "Jumapili". Inaitwa "GREEN SUNDAY". Itakuwa ni siku ya kupumzika kwa mama dunia na watoto wake (sisi) ili kuipa dunia afya ya ujana. Katika gazeti la Gurdian la mnamo 2009 kuna maneno haya;

The simple solution to global warming

Using Sunday as a day of rest and renewal would be good for our personal health as well as the health of the planet.

Kwamba jumapili ndio suluhisho la ongezeko la joto. Kutumia Jumapili kama siku ya kupumzika na kufanya upya itakuwa nzuri kwa afya yetu ya kibinafsi na pia afya ya sayari.

Katika maelezo ya ndani ya ukurusa huo kuna maelezo yafuatayo;

Not long ago Sunday used to be a day of rest, a day of spiritual renewal, a day for families to come together, but we have changed Sunday from a day of rest to a day of shopping, flying and driving. However, in the context of excessive carbon dioxide emissions into the atmosphere, which are bringing catastrophic upheavals, we can and should restore Sunday to a day for Gaia, a day for the Earth......

We can easily close supermarkets, department stores and petrol stations, stop deliveries and reduce mobility to the bare essentials. We can enjoy Sunday once more with our family and friends, or by gardening, writing, painting, walking or simply spending time in contemplation. This will be good for our personal health as well as for the health of the planet. At a stroke, we can reduce by one seventh our carbon emissions into the atmosphere.

Marejeo ya gazeti; Slow Sunday: The simple solution to global warming | Satish Kumar

Kifupi wanalalamika kuifanya jumapili kuwa siku ya kawaida ya kazi na majukumu. Hivyo wanasema, tunaweza na tunapaswa kurejesha Jumapili kuwa siku kwa Gaia, siku kwa Dunia....

Kwamba, Tunaweza kufunga maduka makubwa, wizara na vituo vya mafuta kwa urahisi, kusimamisha usafirishaji na kupunguza uhamaji kwa vitu muhimu.

Tunaweza kufurahia Jumapili kwa mara nyingine tena na familia na marafiki zetu, au bustanini, kuandika, kupaka rangi, kutembea au kutumia tu muda katika kutafakari. Hii itakuwa nzuri kwa afya yetu binafsi na pia kwa afya ya sayari. Kwa kiharusi, tunaweza kupunguza moja ya saba ya utoaji wetu wa kaboni kwenye angahewa. [Mwisho wa kunukuu].

Na katika amri ya 6 katika amri 10 za mazingira zilizopitishwa katika kikao cha mabadiliko ya tabia nchi Co27 huko Sinai Misri jan 5, 2023, Jumapili ilipitisha kuwa Sabato ya mama dunia (Gaia).

Jesuits "Laudato Si" ndio kivuli chote cha ajenda hii, ndani ya waraka huo, utamwona Gaia (mother nature) na sunday worship kama pumziko kuu la ulimwengu. All roads lead to Rome.

Tunaendelea na uchunguzi

Na Jeff
FB_IMG_1704697740767.jpg
 
Back
Top Bottom