Uzi maalum wa wake kwa wayne.

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Kwa nini hawa wake zetu, kabla ya kuolewa wanakuwa, watulivu sana na heshima, na adabu juu, ukishaoa na kuweka ndani tu, wanajitutumua kwa viburi, ujeuri, dharau, upendo, masikilizano, utoweka na vitimbwi juu, kwa nini inakuwa hivi, mpaka inatokea kujuta!!! Mods naomba mnilindie uzi wangu, pia angalizo kama una comments unaweza kupita tu, sio lazima ukoment NAWASILISHA.
 
343a511149437f96784ef1723fb1ef98.jpg
 
Na ndoa nyingi azina upendo wa dhati, kuna kitu mtu anakitaka, atakapofanikiwa, kukipata ndio kibri kinapoanza, hao ndio binadamu wa leo.
 
Back
Top Bottom