Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

De Rabbits slick

Senior Member
Mar 18, 2018
167
166
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.
 
Mawazo mazuri! Kama kuna kijana/vijana graduates ktk Mass Communication/Journalism na wana excellent command ya english language naomba wanicheki Inbox! Kuna fursa ya kuandaa “Articles” mbalimbali kwa lugha ya kiingereza! Karibuni.
 
Shukran sana hakika mwandiko wako huu utamsaidia aliyekatika hali ambayo labda alishakata tamaa kabisa ya maisha na kujiona tena n binadamu.
Hivyo ni kushukru sana kwa kutokuwa mchoyo wa fursa

#Mchongo
Kwa wenye sifa tajwa hapo juu bhas mchangamkie fursa,
Mchangamkie Mchongo..
 
Mawazo mazuri! Kama kuna kijana/vijana graduates ktk Mass Communication/Journalism na wana excellent command ya english language naomba wanicheki Inbox! Kuna fursa ya kuandaa “Articles” mbalimbali kwa lugha ya kiingereza! Karibuni.
Hii ningependa kujua kama inaulazima kua graduate katika hiyo field au uwezo wa kufanya hiyo kazi ni sawa?
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
 
Kabisa kiongozi..

Shukran naamini kuna watu watajikwamua katika kuondokana na hali duni ya kimaisha kupitia mchongo huu..
Nikushukuru sana.

Changamkia Fursa.
#Tupe Mchongo
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Pia kwa faida ya wengine hasa kwa walioko mikoani..

Je kuna uwezekano kwa ambaye anahitaji kuwa wakala wa bidhaa zako..?
 
Wanazengo me ni fundi umeme wa magari connection iwe binafs au company au garage yenye kazi za kutosha poa maana nina uwezo wa kupiga kazi 24hrs uzoefu wangu over 5 yrs ndani ya umeme wa magri popote nafanya kazi ndgu zang kwa sasa naishi bunju dar es salaam
Naaam bila shaka kwa mwenye mchongo bhasi asisite kumpa..

Ni fundi umeme wa magari na anauzoefu wa 5yrs katika fani yake..
Hivyo tupeane michongo
 
Ahsante mtoa mada kwa kutengenezea kiwanja cha kufahamiana na kupeana fursa...
Wakuu mimi ni mtaalamu wa masuala ya GIS yaani Geographical information systems. Kwa wale wenye uhitaji wa kutengenezewa ramani za maeneo mbalimbali kama maeneo ya miradi au kwa wale wanaofanya research kutengenezewa ramani za maeneo wanayofanyia research zao.....kwa huduma nyinginezo nyingi zinazohusiana na na GIS nicheki kwa namba 0764419107 au 0715681502.
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Mkuu lim paper used sh ngP kwa kilo unauza?
 
Ahsante mtoa mada kwa kutengenezea kiwanja cha kufahamiana na kupeana fursa...
Wakuu mimi ni mtaalamu wa masuala ya GIS yaani Geographical information systems. Kwa wale wenye uhitaji wa kutengenezewa ramani za maeneo mbalimbali kama maeneo ya miradi au kwa wale wanaofanya research kutengenezewa ramani za maeneo wanayofanyia research zao.....kwa huduma nyinginezo nyingi zinazohusiana na na GIS nicheki kwa namba 0764419107 au 0715681502.
Naam naamin imewafikia wahusika tegemea majibu mazuri..

Tupeane Michongo
 
Back
Top Bottom