Uzembe unagharimu sana.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Ni hapo juzi juzi tu tumetoka kumzika traffic police mmoja maeneo ya dumila morogoro.Sababu ya kifo chake ni ajali ya pikipiki kugongana.Huyu polisi alikuwa akiendesha pikipiki isiyokuwa na taa mida ya usiku.Hii ilipelekea pikipiki ya askari kuvaana uso kwa uso na pikipiki nyingine na hatimaye kupelekea kifo cha huyu askari.
 
Back
Top Bottom